Afu uwe unaongea kimpira na sio kiushabiki!Kwa lile goli hamna wa kumlaumu,ni uwezo binafsi wa mchezaji aysee.Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula...
Na ndiyo wakati huo huo na golikipa nae alitakiwa aoneshe uwezo wake binafsi. Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Huyo Manula kutunguliwa magoli ya mbali, ni kawaida yake.Afu uwe unaongea kimpira na sio kiushabiki!Kwa lile goli hamna wa kumlaumu,ni uwezo binafsi wa mchezaji aysee.
Yule Kapumbu aliwafanyaje mwananchi dayNa ndiyo wakati huo huo na golikipa nae alitakiwa aoneshe uwezo wake binafsi. Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Huyo Manula kutunguliwa magoli ya mbali, ni kawaida yake.
Mfano Yanga mara nyingi akutanapo na Mo fc, huutumia udhaifu wa huyu golikipa wake kumtungua wakiwa nje ya 18 na kujipatia point 3 muhimu kiulaini.
mtu yeyote anayecheza na watz huwa anawajua udhaifu wao, wanatumia sana minguvu, hawatumii akili.Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula...
Huo ndio utofauti wa ndondo na proffesionals!!sana sana mtakimbilia bahati haikuwa kwetu!!mpira ni sayansi sio kwenda kwa kubahatisha, matokeo yake ndio hayo timu inakuwa kama homa ya vipindi!!kutoa draw na DRC, na kuifunga Madagascar tu, mlikuwa mnajiona level nyingine kabisa!!WAZEE WA KUTIANA HAMASA, badala ya kuangalia uwezo wenu.mtu yeyote anayecheza na watz huwa anawajua udhaifu wao, wanatumia sana minguvu, hawatumii akili. wameuchezeaa mpira hadi wakachoka, jamaa wamechukua tu mara moja hadi golini wakarudi kulinda goli. sisi tumekosakosa magoli rundo. leo kama tungekuwa na wafungaji tungefunga magoli 5, lakini wote hamna kitu.
Hapana japimo mie ni yabga hilo goli sio kosa la manulaLeo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula. Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Kipa gani anashindwa kudaka mpira uliopigwa mita 30 kama ya leo. Wapo akina Kakolanya, Metacha, Mgore n.k. Kwa nini kila uchaguzi wa Taifa Stars kipa ni Manula?. Achaneni na Manula. Leo lawama lazima zimwendee kutokana na goli lililofungwa na Benin.