Taifa Stars tafuteni kipa mahiri na siyo Manula

Huyo kipa wako kaishia wapi leo Manila kawaumbua utopolo maana mwamnyeto alikuwa uchochoro Manula alikuwa anamfichia makosa
 
Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula.

Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Kipa gani anashindwa kudaka mpira uliopigwa mita 30 kama ya leo.

Wapo akina Kakolanya, Metacha, Mgore n.k. Kwa nini kila uchaguzi wa Taifa Stars kipa ni Manula?. Achaneni na Manula. Leo lawama lazima zimwendee kutokana na goli lililofungwa na Benin.
Anza ww kumsaidia kocha umtaje

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Adake hata Kabwili

1633881667672.png
 
Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula.

Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Kipa gani anashindwa kudaka mpira uliopigwa mita 30 kama ya leo.

Wapo akina Kakolanya, Metacha, Mgore n.k. Kwa nini kila uchaguzi wa Taifa Stars kipa ni Manula?. Achaneni na Manula. Leo lawama lazima zimwendee kutokana na goli lililofungwa na Benin.
Hivi unajua Dani Mgore Kwenye michuano ya CAF under 20 alifungwa goli mbili karibu kila mechi ?
 
Back
Top Bottom