willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,328
Wapi Erasto Nyoni1.Mbwana samata - 26
2. Simon msuva - 25
3. Ulimwengu -26
4. Ibrahim ajib -22
5. Jogn bocco -29
6. Farid mussa - 22
7. Himid mao -26
8. Mdathir yahya - 24
9. Gadeiel michael -22
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35
Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
1.Mbwana samata - 26

Kuna siku niliona DOB za yanga eti Boban kazaliwa 1987,ajibu 1996 nikacheka sana Aiseee1.Mbwana samata - 26
2. Simon msuva - 25
3. Ulimwengu -26
4. Ibrahim ajib -22
5. Jogn bocco -29
6. Farid mussa - 22
7. Himid mao -26
8. Mdathir yahya - 24
9. Gadeiel michael -22
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35
Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
Hawezi chakachua tena kwani caf wanarekodi zake,Yule Kelvin John ikifika 2025 atakuwa na miaka 20. 'Save this comment'
Kwani CAF ndiyo walimzaa?Hawezi chakachua tena kwani caf wanarekodi zake,
Umesahau ya nurdin bakari?Kwani CAF ndiyo walimzaa?
Nimesahau tayari.Umesahau ya nurdin bakari?
Kaseja aliendelea kuwa na 23 mpaka uzee ulipomuumbua
Mhuu huyu pia atakuwa hapo kwa kelvin na AgreyWapi Erasto Nyoni
Wawa Pascal 25Okwi 27! Kagere 24! Tusiwashangae Stars tu! Hili tatizo ni la bara zima la Afrika.