Hili suala halijaisha ujue, bado kuna tume ya kutafuta waliotoa fedha kugharamia maandamano, kupanga na kutekeleza maandamano.Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, inaliacha taifa katika vilio vya chini kwa chini kutokana na makovu makubwa ya uvunjifu wa haki za binadamu.
Kipindi hiki kinatawaliwa na simanzi nzito, huku jamii ikikumbuka jinsi mazingira ya kisiasa yalivyobadilika na kuwa uwanja wa hofu, ambapo sauti mbadala zilidandamizwa kwa nguvu kubwa.
Matukio ya mauaji ya raia na waandamanaji yameacha vidonda visivyofutika katika historia ya Tanzania.
Ripoti za mashirika ya kutetea haki za binadamu na vyama vya siasa kama CHADEMA zinaonesha kuwa mamia Kama si maelfu ya wananchi na wapita njia walipoteza maisha kwa kupigwa risasi au kutumia nguvu kubwa kupita kiasi wakati na baada ya uchaguzi ule.
Kilio cha kumwagika kwa damu ya watu wasio na hatia kinaendelea kusikika mioyoni mwa familia zilizopoteza wapendwa wao bila kupata majibu ya kuridhisha.
Wimbi la utekaji nyara unaoratibiwa katika mazingira ya kutatanisha limekuwa mbinu kuu ya kuzima ukosoaji nchini.
Wanaharakati, wanasiasa wa upinzani, na hata raia wa kawaida wamekuwa wakichukuliwa mchana kweupe na watu wasiojulikana wenye silaha, mara nyingi wakitumia magari yasiyo na namba za usajili au usajili bandia na yaliyo na vioo vyeusi tii..!
Hali hii imeleta taharuki kubwa ambapo hakuna mkosoaji anayejisikia salama tena ndani ya nchi yake.
Mbali na kutoweka, visa vya utesaji wa kikatili dhidi ya wale wanaothubutu kunyanyua sauti zao vimeongezeka kwa kiwango cha kutisha.
Baadhi ya wahanga waliobahatika kupatikana wamesimulia mateso makali ya kisaikolojia na kimwili waliyokutana nayo huko uhamishoni au kwenye nyumba za siri.
Vitendo hivi vya kinyama vinalenga sio tu kuwaumiza wahusika, bali pia kutuma ujumbe wa hofu kwa jamii nzima ili isithubutu kuhoji mamlaka au utendaji wa serikali.
Hadi sasa, upotevu wa kudumu wa wanaharakati na wakosoaji wakuu wa serikali bado ni kitendawili kisichoteguliwa, kikiacha familia zao kwenye simanzi ya milele.
Licha ya kuundwa kwa kamati mbalimbali za uchunguzi na shinikizo kutoka kwa mashirika ya kimataifa kama Human Rights Watch, majina mengi ya waliopotea bado hayajulikani walipo, jambo linalofanya maombolezo haya ya kimyakimya kuwa kilio endelevu cha kudai haki, ukweli, na uwajibikaji.
Hata John Heche ataunganishwa tu kwenye mashtaka ya uhaini. Mbona akaunti yake imekutwa na hela nyingi zimeingia na hakuwa na maelezo zimetoka wapiHili suala halijaisha ujue, bado kuna tume ya kutafuta waliotoa fedha kugharamia maandamano, kupanga na kutekeleza maandamano.
Baada ya hapo kamatakamata, kuteka na kuua vitaendelea kwa wale wote watakaotajwa na tume.
Kesi za wahaini zitaanza na sijui taifa litaponaje.
Huyu Lissu hatoki gerezani maana atakuwa ni mmoja wa wahusika watakaotajwa na tume ya Shaaban Lila kuhusika na "uhaini" wa Oct 29 na baada ya uchaguzi.
Taifa lina lia lakini haliwezi kulia bule IPO siku kilio hiki cha haki kitasikika na haki itatamalaki ole wao ccm wazaniao kuwa. Tanzania ni miliki yao watalia na kusaga meno kwani siku yao inakuja🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, inaliacha taifa katika vilio vya chini kwa chini kutokana na makovu makubwa ya uvunjifu wa haki za binadamu.
Kipindi hiki kinatawaliwa na simanzi nzito, huku jamii ikikumbuka jinsi mazingira ya kisiasa yalivyobadilika na kuwa uwanja wa hofu, ambapo sauti mbadala zilidandamizwa kwa nguvu kubwa.
Matukio ya mauaji ya raia na waandamanaji yameacha vidonda visivyofutika katika historia ya Tanzania.
Ripoti za mashirika ya kutetea haki za binadamu na vyama vya siasa kama CHADEMA zinaonesha kuwa mamia Kama si maelfu ya wananchi na wapita njia walipoteza maisha kwa kupigwa risasi au kutumia nguvu kubwa kupita kiasi wakati na baada ya uchaguzi ule.
Kilio cha kumwagika kwa damu ya watu wasio na hatia kinaendelea kusikika mioyoni mwa familia zilizopoteza wapendwa wao bila kupata majibu ya kuridhisha.
Wimbi la utekaji nyara unaoratibiwa katika mazingira ya kutatanisha limekuwa mbinu kuu ya kuzima ukosoaji nchini.
Wanaharakati, wanasiasa wa upinzani, na hata raia wa kawaida wamekuwa wakichukuliwa mchana kweupe na watu wasiojulikana wenye silaha, mara nyingi wakitumia magari yasiyo na namba za usajili au usajili bandia na yaliyo na vioo vyeusi tii..!
Hali hii imeleta taharuki kubwa ambapo hakuna mkosoaji anayejisikia salama tena ndani ya nchi yake.
Mbali na kutoweka, visa vya utesaji wa kikatili dhidi ya wale wanaothubutu kunyanyua sauti zao vimeongezeka kwa kiwango cha kutisha.
Baadhi ya wahanga waliobahatika kupatikana wamesimulia mateso makali ya kisaikolojia na kimwili waliyokutana nayo huko uhamishoni au kwenye nyumba za siri.
Vitendo hivi vya kinyama vinalenga sio tu kuwaumiza wahusika, bali pia kutuma ujumbe wa hofu kwa jamii nzima ili isithubutu kuhoji mamlaka au utendaji wa serikali.
Hadi sasa, upotevu wa kudumu wa wanaharakati na wakosoaji wakuu wa serikali bado ni kitendawili kisichoteguliwa, kikiacha familia zao kwenye simanzi ya milele.
Licha ya kuundwa kwa kamati mbalimbali za uchunguzi na shinikizo kutoka kwa mashirika ya kimataifa kama Human Rights Watch, majina mengi ya waliopotea bado hayajulikani walipo, jambo linalofanya maombolezo haya ya kimyakimya kuwa kilio endelevu cha kudai haki, ukweli, na uwajibikaji.
Mungu baba nisaidie kusahau habari za kuikomboa Tanganyika😭😭😭Taifa lina lia lakini haliwezi kulia bule IPO siku kilio hiki cha haki kitasikika na haki itatamalaki ole wao ccm wazaniao kuwa. Tanzania ni miliki yao watalia na kusaga meno kwani siku yao inakuja🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Id yako imeekaa kishoga sana mwanetu, you better watch your back wahuni watakula kisaamvuThe same old shit man, just a different day!
Hebu pita karibu yangu halafu ujifanye kama unaweka vizuri soksi Yako, utaenda kusimulia vizuri kwa mumeo.Id yako imeekaa kishoga sana mwanetu, you better watch your back wahuni watakula kisaamvu
Uchawi, ramli, vurugu, maombi feki vyote vimegonga mwamba kwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania........mamamamae, hamuamini macho yenu🤣🤣🤣Wali nazi😂
Na camilius wambura naye ataunganishwa? Maana naye alikuwa na bl 3 kama mtumishi wa umma alizitoa wapi?Hata John Heche ataunganishwa tu kwenye mashtaka ya uhaini. Mbona akaunti yake imekutwa na hela nyingi zimeingia na hakuwa na maelezo zimetoka wapi
Kafungue kesi yakeNa camilius wambura naye ataunganishwa? Maana naye alikuwa na bl 3 kama mtumishi wa umma alizitoa wapi?
Hiyo ya heche utafungua wewe?Kafungue kesi yake