Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
ukitaka kuumaliza upinzani kwanza unaanza na kauli kama za akina sitta
Familia yake pamoja na familia ya mwanae wametoa jumla ya sh. 2mil. Lema ametoa sh mil 1.
Hivi Sitta ameshindikana kabisa kabisa kufukuzwa CCM? naona kama lugha yake inatofautiana sana na ya chama chake. Kuna mzee mmoja anaheshimika anasema hivi wewe kijana hujui kuwa sitta ni wa kwetu chadema ila yupo CCM kwa muda tu?
Mbona siku hizi watu wanakimbialia makanisani kuchangisha michango? Mzee six na Lema? Naanza kuona kama maono nikiwa kwenye lindi la usingizi nahisi kitu au ni maluwe luwe ama ni upofu? Hakuna kitu hapa kweli?
Hivi Sitta ameshindikana kabisa kabisa kufukuzwa CCM? naona kama lugha yake inatofautiana sana na ya chama chake. Kuna mzee mmoja anaheshimika anasema hivi wewe kijana hujui kuwa sitta ni wa kwetu chadema ila yupo CCM kwa muda tu?
Kunya anye Kuku akinya bata kaharisha, ingekuwa ni EL ungesikia jinsi watu wanavyoachia mashuzi!
YESU "NYUMBA YA BABA YANGU MMEIFANYA PANGO LA WALANGUZI"KUMBE HATA WAKATI ULE MAFISADI WALIFANYA HIVYO KANISANI!Yalaaah