Taifa limegawanyika kuhusu UKUTA

Mkumbushe na ile risasi iliyomuua muuza magazeti Moro
 
Hili bandiko hasa maneno ya Viongoz kuelimisha wananchi yametulia sana! Good good good!! UKUTA NDIO HABARI YA MJINI
 
nilichoshangaa ni pale polisi wanafanya mazoezi hadharani kama wehu....nilitegemea watumie mbinu yoyote kutatua mgogoro....
sasa wanachofanya nimeani kuna ulazima sana wa kukagua vyeti kwa hawa wenzetu
Mimi magufuli nilimpuuza pale kwa mara ya kwanza alipokuwa akiongea na makamanda wa polisi Dodoma pamoja na siku ya kuwapandisha vyeo makamishina wa polisi. Hapo ndo nilipojua hana ethics za uongozi. maneno aliyotamka, siyo ya staha kwa kiongozi mkubwa akama yeye. kwa hiyo Magufuli mwenyewe tu ni tatizo.
 
Watangaze September 1 ni siku ya mapumziko ili tujumuike kwa wingi.

Mi naamini mapumziko yatakuwepo automatically.
Kama siyo baba Jesca kukurupuka na kutangaza hali ya hatari basi raia wenyewe watajiongoza kutulia majumbani wasifie mikononi mwa WAPUMBAVU.
 
Limegawanyika kwa watetezi wa mafisadi upande mwigine mtetezi wa wanyonge
 
Serikali imekuza mambo. Wangewapuuza chadema yasingefika huku yalipo.
Kikwete aliweza ila kwa John hapana.
Si Kikwete alikuwa "dhaifu?"
Sasa "dhaifu" amekuwa adimu.....
Na watu walipinga "udhaifu" ila bado wanataka kuishi kwa style ya "dhaifu".
Mantiki hii haiingii akilini hata kidogo.
 
Tumegawanyika. Wenye kujua democrasia na wasiojua maana ya democrasia pamoja na mashabiki wa ccm ambao wako pale kwa kulinda tumbo bila kufikiria taifa. Kuishi bila democrasia inafaidisha wachache wanaotawala. Lakini democrasia inafaidisha taifa zima. Hii ni Kwa sababu democrasia inaheshimu mawazo ya kila moja.
 

JPM anawapa shida sana anaofanya nao kazi.
Wanatakiwa kumuambia ukweli ila wanamuogopa.
Kama hawezi siasa akae chini atulie tu. Akubali kuelekezwa.
 
Haswaa kama J.P.M angekuwa mjanja angamaliza haya mambo mapema kwa mazungumzo.. sasa angalia now tension ilivokubwa kila mahali

Chadema wana mprovoke na yeye anajaa mazima.
Siamini kama kutakuwa na maandamano, ila serikali ipo kwenye tension ya kitu wasichokifahamu.
 
Huyu mzee haya maneno ya busara kiasi hiki anayatoaga wapi
 
Katika Tanzania milioni 8 waliopigia UKAWA wanajua haki yao ya msingi. Lakini 6m waliopigia ccm hawajui haki zao kwani siyo wasomi na hawajui kama kweli ni wanachama.
 

UKUTA mnaikuza tu kwenye MTANDAO wala haipo kiivo huku kwetu mambo wa sijawahiliskia hilo neno UKUTA zaidi ya huku , kwenye jf
 
Cuf wanajielewa hawataki kuburuzwa kama wanavyoburuzwa majizi Chadema na mbadilisha gia za angani mfalme Mbowe
 
Damu yako imejaa mabarafu! Kwa woga huo huponi utumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…