Sisi kweli ni kama taifa la pwagu na pwaguzi....
yaani nchi nzima imesimama kufuatia mgomo wa madereva
watu wameshindwa kusafiri...wagonjwa na wafiwa achilia mbali biashara zilizo simama
halafu anakuja waziri anasema 'serikali halilitambui agizo la mkuu wa chuo cha usafirishaji'
sasa kama huyu mkuu wa chuo agizo lake halitambuliwi ilikuwaje
jeshi la polisi lishinikize hao madereva walitii hilo agizo?
na je maagizo ya nyuma waliyokuwa wanayatii je? serikali iliyatambua?
je hatua gani zitachukuliwa kwa mtu huyu kutoa maagizo ambayo serikali haiyatambui?
je kwingine kote ambako maagizo yanatolewa kila mara wananchi wanajuaje hayo ni maagizo ya serikali au sio?
sasa haya yoote kama sio kuthibitisha 'taifa la pwagu na pwaguzi' ni nini?
Serikali ya maganba imelazimika kusalimu amri kwa madereva.Walikuwa wanapima upepo, wakaona umeambatana na radi na mvua ya mawe ikabidi wapotezee
Jk cina hamu naye alipoepeleka hii nchi huwa nashangaa sana nilivyoona yule mama anaongea nilibaki nimeduwaa kumbe jamaa wamegoma kwa agizo la uongo pale angesema ni kwa nini huyo mkuu wa nit bd yupo kzini mpka sasa hivi kwa usumbufu huu mkubwa kwa taifa km sio yy waziri awajibike.mwisho wa siku wataitwa wazee pale diamond na mkaya ataanza jichekesha wabongo linapita hivi saisi watanzania tusio na akili ni nani aliyetulogaa.......
Sisi kweli ni kama taifa la pwagu na pwaguzi....
yaani nchi nzima imesimama kufuatia mgomo wa madereva
watu wameshindwa kusafiri...wagonjwa na wafiwa achilia mbali biashara zilizo simama
halafu anakuja waziri anasema 'serikali halilitambui agizo la mkuu wa chuo cha usafirishaji'
sasa kama huyu mkuu wa chuo agizo lake halitambuliwi ilikuwaje
jeshi la polisi lishinikize hao madereva walitii hilo agizo?
na je maagizo ya nyuma waliyokuwa wanayatii je? serikali iliyatambua?
je hatua gani zitachukuliwa kwa mtu huyu kutoa maagizo ambayo serikali haiyatambui?
je kwingine kote ambako maagizo yanatolewa kila mara wananchi wanajuaje hayo ni maagizo ya serikali au sio?
sasa haya yoote kama sio kuthibitisha 'taifa la pwagu na pwaguzi' ni nini?
Walikuwa wanapima upepo, wakaona umeambatana na radi na mvua ya mawe ikabidi wapotezee