Taifa la Marekani limelaaniwa

Mimi nataka utajiri wanipeleke huko kwa freemanson
 
Unaweza kuthibitisha shetani yupo?
 
Kama unategemea upate utajiri kwa kujiunga freemason endelea kuota ndoto za mchana.
Hahahahahaahaahahaa,mi naonaga tu,diamond fremanson,kanumba freemanson,hata mie sipendi shida nataka kumiliki maVx
 
Watu wengi hawajui kwamba misingibya u Freemason haina tofauti sana na ike ya Ukristo/Uislamu na dini nyingibtu. Na kwamba Freemasons wako better than theae religions in so many ways angalau kwa sababu wao wanajumuisha dini zote pamoja.

Kwa hiyo mtu asiyeamini kuwapo kwa mungu kama mimi akiwaponda Freemasons nitaelewa.

Lakini Mkristo anapowaponda Freemasons halafu kesho watoto masikini wanahitaji kufanyiwa operesheni ya moyo India Freemasons ndio wa kwanza kujitokeza kutoa misaada, halafu hapo hapo jamii inawaona kama waabudu shetani, wakati shetani mwenyewe hata hayupo, napata tabu sana.

Watu wanajikita katika kulaumu Freemasons wakati hata hawaelewi ni kitu gani.
 
Ulipoanza tu "ustaarabu ulianza USA" nikajua hapa shule inekosekana. Baada ya hapo ni downhill. Tafadhali jiridhishe kwanza kwamba unajua unachokiongea.
 
I'm sorry. Ulikoanzia kwingine. Watu walipokuchallenge, badala ya kutoa ushahidi au uthibitisho unakuja na mengine kabisa. Mtu anayepinga tafsiri yako ya kutabu cha Daniel, hapingi uwepo wa Mungu. Hadithi zote ulizotoa baada ya hapo ni irrelevant. Jifunze kutoa hoja na si upuuzi tu sijui masons sijui nini.. ah!!!!
 
mbuzi wewe, mbona wengne wameelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…