Taifa la Marekani limelaaniwa

Leta uthibitisho wa biblia walipotajwa wamarekani japo sikupingi
nitakuletea mstari baadae ila ili upate habari zaidi soma kitabu cha ezekieli na ufunuo soma aya zote kabisa kulijua hilo taifa lenye nguvu na madhara yake.
 
Watu ambao hamna hata idea freemason ni nini zaidi ya ujinga ulioandikwa online. Niambie ushawahi kuona proof hata moja ya huo ujinga?

Acha kupoteza muda na story za online ambazo asilimia kubwa ni uongo, we usijifanye ndio unajua dini maana ukweli ni kua hakuna kitu unajua zaidi ya kuitafsiri unavyotaka wewe.
 
ni mawazo yako siwezi dharau sana
 
Si lazima kila mtu aanzishe uzi,tena wa hitimisho kama huu..
 
Huwa simchukulii mtu seriously akianza story za Freemasons. Dini zimefanya wengi wenu muwe vichaa bila ya kuokota makopo.

Kila kitu US US ila mkipata nafasi wote mnataka kwenda US, hata wale waislam wa misimamo mikali wanaiponda US kila siku ila kila siku wanapewa asylum za kuishi US. Smh
 
una visa na Ngabu eh???
 
Kichwa cha habai na habari yenyewe ni vitu viwili tofauti
 
nitakuletea mstari baadae ila ili upate habari zaidi soma kitabu cha ezekieli na ufunuo soma aya zote kabisa kulijua hilo taifa lenye nguvu na madhara yake.
Ungejua vitabu vya Ezekieli na Ufunuo (hata Daniel) havizungumzii marekani hata usingeandika ulichoandika
 
Unaposoma Biblia unatakiwa uielewe sasa wewe umekurupuka tu na kuja na madai yasiyo na kichwa wala miguu huyo mmarekani kwenye biblia hata hajatajwa wala kitu kinachofanana nacho... Biblia ni Story za kitambo na almost kila kilichoandikwa humo kishatokea iwe vita,Machafuko,N.K na Taifa kubwa lililozungumziwa sana ni Uatawala wa Roma so Marekani ni Mtoto mdogo sana kihistoria...

Mambo ya Freemason ni Taasisi kama yako hiyo ya Ukristo usioujua katu chanzo chake na utendaji wake... Huyo Yesu unayemdhania wewe si yule Mwana wa Mariam aliyeitwa Yah-Shua Mwalimu wa Dini ya Kiyahudi aliyeishi maisha yake Mengi Masomoni Misri China na kufia India Kashmir.

Dini Ya Ukristo ni ya hatari zaidi kwani haina inachofuata kama wanavyojiaminisha kila kitu wamejipangia wenyewe wanavyotaka wao na sio Wanayemuamini.. Yesu na Mungu wa Wayahudi asiyebadilika wala kubadilishwa.... STUKA.

Freemason cha muhimu isome vizuri nini wanaamini ndipo utoe comment maana hata hapo umeamini Freemason ni Mungu???

Tafuta ukweli wote how Biblia imeandikwa na nani ni Master anayetakiwa kufuatwa ukishafahamu wengine wote kwenye Biblia hawana chao zaidi walikuwa wakituliza amani tu duniani... Kumbuka kama unaamini Mungu asiyeonekana basi hao waliokupa mwongozo waeleze how they communicate with Him...

Dini ni way ya namna ya kuishi maisha ya Duniani...
 
Mkuu nmesoma bandiko lako nikashangaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa kuwa ama huelewi au umeelewa offside(zaidi ya kuelewa)

Kwa mjib wa biblia(daniel na ufunuo)usa unatajwa kama pembe ndogo ya hatari sana, ki msingi ni unabii ambao kila kizur au kibaya kinaanzia hapo..

Nikukumbushe mambo machache,
Ustaarabu umeanzia usa
Teknolojia usa
Vyama vingi usa
Uchaguzi huru(democrasia) usa
Uhuru wa dini usa
Mapenzi ya jinsia 1usa
Na sasa wanakuja na dini moja usa

Kwa hyo kama hujui maana ya free masonic( yaan wajenzi huru) ni taasisi ambayo anataka kuitawala duniA kimfumo, na kwa sasa wamefika karb 90%

Kinachowaahinda ni kwa kuwa Mungu anasubr watu wake wajitoe kwake, huenda ukawa ww na mm..

Mkuu huo ni unabii timilifu

Think
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…