Taifa la Kesho Tanzania

Ok, ushauri wako nini sasa au ndo umeweka hapo tuone basi!
 
waache wajifunze polepole ili wakiwa wakubwa wasiwe malimbukeni wa mambo hayo kama mlivyo nyie sasa hivi
 
Hizo c ni juis tu? au simu yangu tecno inazingua!
Ningeona concern kama vingekuwa vileo.
 
ukumbuke wapo kitandani hapo wakishalewa ni kula tunda la katikati tu hapo chezea pombe weye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…