Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,973
Hili Taifa Bhana!!!!
1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela.
2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.
3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga ikukopeshe.
4. Taifa ambalo ukifeli unakuwa mtangazaji wa kipindi maalumu kabisa.
5. Taifa mbalo simu kali ni dili hata kama vocha waweka za jero jero.
6. Taifa ambalo unazaliwa umeme shida, unafika miaka 30 hata huna bajeti ya Jenereta/Solar, unailaumu tu Tanesco.
7. Taifa ambalo warembo washajiona wao ni waomba kusaidiwa daima.
8. Taifa ambalo kila mtu anataka ajue bei ya kitu ulichonunua!
9. Taifa ambalo usipoiba unaonekana sio mjanja tena ni mjinga wa mwisho!
10. Taifa ambalo kila mtu analalamika hana ela, mpe dili sasa, anaanza longolongo
11. Taifa ambalo saa nne asubuhi lina foleni ya watu wanaenda makazini
12. Taifa ambalo ukisema upo ofisini satatu usiku unashangawa ila upo club sanane usiku unasifiwa
13. Taifa ambalo kusema jana nlikuwa bata sana ile mbayaaaa ni dili na waonekana mjanja
14. Taifa ambalo bila kuigana siku haijapita
15. Taifa ambalo kila anayehojiwa anasema "Naiomba Serikali iliangalie suala hili"
16. Taifa ambalo ukiwa na gari hutongozi unatoa tu lift kitu shaa
17. Taifa ambalo kulipa bili yako pekeako ukaruka za wengine ni vita
18. Taifa ambalo ikinyesha dakika 5 tu foleni masaa
19. Taifa ambalo viongozi wanajua "hawa watazoea tu" washazoea umeme, washazoea "haijajulikana", watazoea na hii
20. Taifa ambalo kijiMC kidogo tu kinaweza kufariki Taifa zima likageukia Msiba
21. Taifa ambalo kuteswa ni kunyofolewa Meno na Kucha
22. Taifa ambalo viongozi wake wana mipasho ka taarabu
23. Taifa ambalo vijana wameombwa wasipondee bali wasifie nchi
24. Taifa ambalo hata bomu likilipuka Arusha, wa Mbagala anajichagulia jina la Mlipuaji
25. Taifa ambalo ...............
Extra from Other JFs members
26. Taifa ambalo karibia kila jambo serikalin ni kwa hisan ya watu wa marekan
27. Taifa ambalo kunywa chai na mihogo ndiyo kawaida, lakini maziwa halisi, mkate na siagi mpaka mgeni akija
28. Taifa mbalo ukibaka ni suala lako binafsi.
29. Taifa ambalo watoto wanauza UNGA na baba zao wanawakinga wasikamatwe
30. Taifa ambalo kiongozi akibaka kamanda wa polisi anasema "Hakuna kesi ya kujibu, ni mambo yake ya binafsi"
31. Taifa ambalo hata vibaka wanatamba kwamba wao ni usalama wa taifa
32. Taifa ambalo wanaodai haki wanaonekana wasaliti
33. Taifa ambalo bila rushwa hupati haki yako kwa urahisi
34. Taifa ambalo mpaka chekechekea, inabidi usome tuition...
35. Taifa ambalo ukilalamaa ndiyo mtaalamu wa kijamii!!
36. Taifa ambalo viongozi wanakuambia piga mbizi Kama huna nauli ya kivuko....
37. Taifa ambalo kila mtu analalamika (viongozi na wasio viongozi)
38. Taifa ambalo sembe na ndovu za tembo hazijulikani zinaenda wapi baada ya kushikwa
39. Taifa ambalo mgonjwa wa kichwa anafanyiwa operasheni ya mguu na mgojwa wa mguu anafanyiwa oparasheni ya kichwa...
40. Taifa ambalo naibu waziri wa elimu hajuia nchi yake imeungano wa nchi ipi...
41. Taifa ambalo mwanafunzi asiyejua kusoma na kuandika anafauru mitihani...
43. Taifa ambalo punda wa masikini ni punda wa kweli na wanatumika kubeba mahitaji muhimu ya binadamu wakati huo huo punda wa mafisadi ni binadamu wenzao na wanatumika kubeba madawa ya kulevya
44. Taifa ambalo linaendeshwa Kwa matukio hili kuwapumbaza raia wake.
45. Taifa la wananchi wavumilivu duniani mpaka majirani zetu wanatushangaa.
46. Taifa la watu wanafiki kuwahi kutokea,kwani kabla ya uchaguzi wananchi wanaonekana kuwa na ari ya kuleta Mabadiliko lakini
47. wakati wa uchaguzi wanachagua chama kilekile wanachokilalamikia Kwa umaskini na shida zao
48. Taifa pekee duniani ambalo linaruhusu fao la kujitoa.....its positive kwa sisi wa hali ya chini
NB: Naamini baadae tukiangalia hii kitu kwa makini tutapata kitu cha maana zaidi cha kujifunza.