Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

Hichi kitu hata mimi huwa kinanishangaza,hivi huyu kigogo yupo hapa nchini au yuko nje ya nchi kama Mange?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kigogo ni Ghost mkuu na sio mtu kabisa,Sirikali imejaribu kukamata karibu vijana wote waliokuwa wanahisi ni kigogo lakini wapi bila bila na washasalimu amri,nimeona hadi M-Uvccm ameomba mashirika ya kimataifa yawasaidie kumpata kigogo.
 
Hili taifa ni moja ya mataifa duniani yenye complex securty system. Kiasi huwezi mjuwa kiurahisi nani ni nani.

Nitaifa pekee ninavyo amini hata Wazungu walipatwa na shock vile tunafanya kazi.

Ndio maana kuna mahali ktk mtandao au kitabu jamaa waliambiana wasituamini sana.
Kenya ni heaven ya majasusi wa magharibi na wana wapenda sisi tuna sera tata inaitwa nchi isiyo fungamana na upande wowote. Do we know the meaning?

Hili taifa bwana acha tu acha nifunge mdomo kama akina mzee Pinda ila hili taifa hapana hapana.

Embu tafakari yule Rc alimisha mpaka waziri fulan ila Zito kamjibu tena kibabe hiyo ndio nchi inatisha Tz.

Lile jasusi la Ruangwa wamelipiga chini nakuliburuza ila likaenda kupata chakula kitam na mke wake kwenye hotel fulan... Alafu wakalifukuza chama wala halijajibu chochote. Hii Tz inatisha sana.

Umewahi tafakuri mtu anafokewa anatukanwa alafu anaitikia ndio mkuu? Basi ndio Tz. Watu anakuitikia kila kitu hata ukiwaambia wakaafute machoz yasamak wataenda tafuta Nakuru kusema bado mkuu tunayatafuta. Tz

Unaweza shangaa yule mkuu wa wilaya alitoa maoni yake hivi majuz ni boss wa yule mwenye mkoa na anajuwa au ajuwi. Tanzania acha tu muheshimu hata mfagiz au muokota taka. Tanzania shikamoo.
Tupo salama lakini. Pia mh Mabeho amepeleka majeshi mpakan Nsumbiji...
Upumbavu mtupu.
 
Please rekebisha hilo neno "alimisha" ili habari ilete maana ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo letu ni unafiki tu! Kila mmoja wetu ni spy kwa sababu tunapenda kufuatiliana, mtu akivaa shati zuri anaulizwa kapata wapi, akijenga ni mwizi, akila vizuri ni mdokozi. Wenzetu huenda hawana haya, so kuwa Mtanzania ni kuwa Mlinzi wa Taifa.
Msisahau kuwa sisi 100% ni waoga, na siku zote muoga haogopi kutoa siri anayoifahamu kwani anahofia kikinuka nayeye atadhurika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha usalama mpaka kwa wahudumu wa ofisi, wafagia barabara za mitaani, wahudumu wa bar nao wamekuwa usalama,ofisi zote wamemwagwa,mpaka kitengo chenyewe kimepoteza hadhi yake.

Ukiwachukua wote hao na kuwapiga ulabu wa kutosha, mpaka rangi ya chupi ya serekali inazopendelea kuzivaa utajulishwa,na mbinu zote zinazotumika kuzipata chupi hizo,na namna ya kuzivaa utaambiwa, kama wanaanzia kuzivaa kwa kuanzia kichwani au miguuni zote utaambiwa.
 
Hili taifa ni moja ya mataifa duniani yenye complex securty system. Kiasi huwezi mjuwa kiurahisi nani ni nani.

Nitaifa pekee ninavyo amini hata Wazungu walipatwa na shock vile tunafanya kazi.

Ndio maana kuna mahali ktk mtandao au kitabu jamaa waliambiana wasituamini sana.
Kenya ni heaven ya majasusi wa magharibi na wana wapenda sisi tuna sera tata inaitwa nchi isiyo fungamana na upande wowote. Do we know the meaning?

Hili taifa bwana acha tu acha nifunge mdomo kama akina mzee Pinda ila hili taifa hapana hapana.

Embu tafakari yule Rc alimisha mpaka waziri fulan ila Zito kamjibu tena kibabe hiyo ndio nchi inatisha Tz.

Lile jasusi la Ruangwa wamelipiga chini nakuliburuza ila likaenda kupata chakula kitam na mke wake kwenye hotel fulan... Alafu wakalifukuza chama wala halijajibu chochote. Hii Tz inatisha sana.

Umewahi tafakuri mtu anafokewa anatukanwa alafu anaitikia ndio mkuu? Basi ndio Tz. Watu anakuitikia kila kitu hata ukiwaambia wakaafute machoz yasamak wataenda tafuta Nakuru kusema bado mkuu tunayatafuta. Tz

Unaweza shangaa yule mkuu wa wilaya alitoa maoni yake hivi majuz ni boss wa yule mwenye mkoa na anajuwa au ajuwi. Tanzania acha tu muheshimu hata mfagiz au muokota taka. Tanzania shikamoo.
Tupo salama lakini. Pia mh Mabeho amepeleka majeshi mpakan Nsumbiji...
Sasa hayo yana saidia nini nchi masikini hata uwezo wa kununua barakoa hatuna
 
Back
Top Bottom