Taifa Cup: Raha tupu!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Mpaka wakati huu ni dakika ya 70, Ilala (almost Simba Sports Club) wanaongoza kwa bao 8 kwa bila dhidi ya Lindi...

Tanga And Ruvuma Out of Taifa Cup

 
Ayaaaaaa! Bao la 9 kwa Ilala... Julius Mrope anaandika bao la 9.

Kazi kwelikweli.

Kesho ni Pwani dhidi ya Kilimanjaro.
 
Dakika ya 86, Ilala wanapata bao la 10. Moha Kijuso ndiye mfungaji.

Habari ndo hiyo!
 
Mpira umemalizika... Ilala 10 - Lindi 1. Bao la Lindi limefungwa dakika ya 91.

Ilikuwa burudani ya kipekee
 
Mpira umemalizika... Ilala 10 - Lindi 1. Bao la Lindi limefungwa dakika ya 91.

Ilikuwa burudani ya kipekee

Mkuu Thanx,
Nilidhani umeongeza digit bahati mbaya, ila 10-1 very interesting!
Hivi hawa Lindi ni wabovu kiasi hiki au hawa SSC ....sorry Ilala ni wazuri sana?
Lakini burudani safi!
 
Wamewaonea.....kabisa team imezoeana sana na wametoka kwenye leageu hata week bado...uwanja nao tatizo ......ukichanganya yote...10-1 was obvious......Lindi poleni maana mmekutana na simba na ashanti...watoto ya mujinii.....poleni mjipange upya..labda kama maximo amewaona atawafuatiliaa..msikate tamaa...
 

Invisible vipi leo mbona hakuna updates????
 
The competition rules favours Dar es salaam, Young, Simba, Ashati and Manyema players = Ilala team. Ni vema sheria zikawataka wachezaji kuchezea mikoa waliyotokea au ihusishe wachezaji chipukizi.
 
Hivi kwanini dar wana timu nyingi?
Dar ina kama 10% (naomba nikosolewe kama takwimu zimenitoka) jumlisha na facilities nyingine nyingi...ndio maana kuna dar kuna mikoa 3 kwa TRA, police, Tanesco etc!
 
Niliisahau hii topic! Hadi sasa TMK 2 ~ Mbeya 2 na mpira umeisha. Zinaanza kupigwa penalti. Wanaanza TMK
 
Eh!? hebu nipeni updates za Taifa Cup, Dar es Salaam haiwakilishwi na Mzizima United? nasikia mnataja TMK (temeke?) ilala,... Kulikoni? ndio kusema Dar imetoa timu tatu, Temeke, Ilala na Kinondoni au?

Naikumbukia michuano hii miaka ilee... doh! ilikuwa michuano mikali sana, angalau iliweza kutoa Opportunity 'kuonekana' wachezaji ambao wako kwenye mikoa yenye timu daraja la pili, tatu kwenda chini...
 
Kinondoni imewatandika Shinyanga 2 ~ 1 na kuwaondosha kwny mashindano.

Mpaka sasa Mara 1 Singida 0
 
Haya mashindano ni waste of time and money. Kila nikijiuliza madhumuni ya mashindano haya ni nini sipati jibu, yangekuwa na maana kama yangehusisha vijana wa umri mdogo ili wapate kuonyesha vipaji vyao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…