TAHLISO watoa tamko kali, yasema Mdede anatumika

ray jay

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,084
Reaction score
485
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:

Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu TAHLISO linatoa taarifa ya kukanusha habari zilizo samba kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya maandamano ya amani ya wanafunzi kesho ijumaa kuelekea ofisi za Wazir Mkuu kushinikiza Serikali kutoa shilingi bilioni 6.6 kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

TAHLISO kama shirikisho lina kanusha taarifa hiyo,na kulaani vikali matumizi mabaya ya kutumia jina la shirikisho kwa manufaa binafsi,aidha anaejiita mwenyekiti wa Tahliso katika taarifa hiyo Musa Mdede si MWENYEKITI HALALI kwa sababu vikao halali vya vya shirikisho vilivyofanyika tarehe 03 hadi 04 /05/2014 katika Chuo cha Kodi vilimwondoa madarakani,na kwa mujibu wa katiba ya shirikisho nafasi yake ilikaimiwa na makamu mwenyekiti wa Tahliso,hivo taarifa aliyoitoa sio sahihi ni ya upotoshaji kwa wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania.

Aidha,uongozi wa Tahliso ulipata taarifa za ucheleweshaji wa malipo ya fedha za mafunzo ya vitendo kwa baadhi ya vyuo na kuweza kulifatilia swala hilo ili kuhakikisha fedha hizo zinapatikana kwa wakati,katika majukumu yake uongozi uliwasiliana na Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania - HESLB ili kupata hatima ya malipo kwa vyuo ambavyo havijapata fedha hizo,hususani Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (saut) Mwanza na Tabora,Chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM), Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji-Mbeya,Chuo kikuu cha Tumain Makumira-Iringa, Chuo kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMUCCO) na Chuo Kikuu cha Jordan Morogoro.

Hata hivyo Bodi ya Mikopo imeendelea kuchukua hatua za haraka katika kuhakikisha vyuo husika vinapata fedha hizo haraka iwezekanavyo nakuweza kuzitoa kwa wanafunzi ambao wanaendelea na mafunzo yao ya vitendo katika maeneo mbalimbali,na leo hii Chuo kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMUCCO) na Chuo Kikuu cha Jordan Morogoro vitapatiwa fedha zote zinazohitajika,taratibu za kifedha zinaendelea kufanyika ili vyuo vilivyobakia viweze kupata fedha hizo kwa siku ya kesho.

Uongozi wa Tahliso unawaomba wanafunzi wote wav you vikuu ambao hawajapata fedha hizo kuwa watulivu wakati wakisubili kupata fedha zao,na hatua kadha wa kadha zinaendelea kuchukuliwa katika kuhakikisha wanafunzi wote stahiki wanapatiwa fedha zao kwa wakati.

Imetolewana :
ABDI MAHMOUD ABDI
MAKAMU MWENYEKITI TAHLISO.
14/08/2014
 
Ondoa unafiki na uchumia tumbo.

Wewe Makamu Mkiti ni nani asiyekujua ni mwanachama wa CCM na unatumika kukandamiza haki za wanafunzi? Hii taarifa si ndiyo ile iliandikwa Lumumba?

Tahiliso tunamtambua Mwenyekiti wetu ni Mussa Mdede.

Wewe ninakushauri kaombe nafasi ya propaganda pale CCM
 
mkuu hivi vitoto vikianza kutumikia mabwana vikiwa vidogo namna hii sasa vikikua si ndo vitakua vichawi haswa. kuna haja ya hiki kizazi cha sasa kuondolewa. maana wanakubali kuwasaliti wanafunzi wenzao kisa posho toka lumumba
 
Ondoa unafiki na uchumia tumbo.

Wewe Makamu Mkiti ni nani asiyekujua ni mwanachama wa CCM na unatumika kukandamiza haki za wanafunzi? Hii taarifa si ndiyo ile iliandikwa Lumumba?

Tahiliso tunamtambua Mwenyekiti wetu ni Mussa Mdede.

Wewe ninakushauri kaombe nafasi ya propaganda pale CCM

wewe ndo mnafiki na mmekuwa mkiwatumia wanafunzi kufanya fujo. Pambafu wewe. Chadema mmekwisha kuanzia makao makuu mpaka vyuoni
 
Hivi unaielewa hali halisi ya wanafunzi we mjinga?...
sasa huyu kada mdogo anawasaliti wanafunzi kisa njaa, duh
 
Achana na hilo jinga....lina mawazo ya kizee wakat likijana....
 
Eti tuwe watulivu toka mwezi wa 6 mwishoni huu mwezi wa 8 huu uvumilivu au uoga?badala ya kusimamia serikali itoe pesa kwa wakati mnaanza kuitetea!ndio maana toka nimeingia chuo sijawahi kupiga kura kuchagua kiongozi na sitawahi kufanya hivyoo!POOR TAHLISO
 
Bwabwa tu huyo...
Mwanaume unakaa kupigia makofi washenzi waliochelewesha malipo ya wapiga kura wako nyambafu.
 
Vikao vilivyotajwa havikumtoa Mussa Mudede kwenye nafasi yake kwa sababu idadi ya kura za kumuondoa hazikutosha
Huyo makamu wa TAHLISO ni gamba na maccm yanamtumia kama kondomu mpaka sasa sijui kafanya nini kuishinikiza serikali kutoa pesa kwa wanafunzi.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:

Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu TAHLISO linatoa taarifa ya kukanusha habari zilizo samba kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya maandamano ya amani ya wanafunzi kesho ijumaa kuelekea ofisi za Wazir Mkuu kushinikiza Serikali kutoa shilingi bilioni 6.6 kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

TAHLISO kama shirikisho lina kanusha taarifa hiyo,na kulaani vikali matumizi mabaya ya kutumia jina la shirikisho kwa manufaa binafsi,aidha anaejiita mwenyekiti wa Tahliso katika taarifa hiyo Musa Mdede si MWENYEKITI HALALI kwa sababu vikao halali vya vya shirikisho vilivyofanyika tarehe 03 hadi 04 /05/2014 katika Chuo cha Kodi vilimwondoa madarakani,na kwa mujibu wa katiba ya shirikisho nafasi yake ilikaimiwa na makamu mwenyekiti wa Tahliso,hivo taarifa aliyoitoa sio sahihi ni ya upotoshaji kwa wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania.

Aidha,uongozi wa Tahliso ulipata taarifa za ucheleweshaji wa malipo ya fedha za mafunzo ya vitendo kwa baadhi ya vyuo na kuweza kulifatilia swala hilo ili kuhakikisha fedha hizo zinapatikana kwa wakati,katika majukumu yake uongozi uliwasiliana na Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania - HESLB ili kupata hatima ya malipo kwa vyuo ambavyo havijapata fedha hizo,hususani Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (saut) Mwanza na Tabora,Chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM), Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji-Mbeya,Chuo kikuu cha Tumain Makumira-Iringa, Chuo kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMUCCO) na Chuo Kikuu cha Jordan Morogoro.

Hata hivyo Bodi ya Mikopo imeendelea kuchukua hatua za haraka katika kuhakikisha vyuo husika vinapata fedha hizo haraka iwezekanavyo nakuweza kuzitoa kwa wanafunzi ambao wanaendelea na mafunzo yao ya vitendo katika maeneo mbalimbali,na leo hii Chuo kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMUCCO) na Chuo Kikuu cha Jordan Morogoro vitapatiwa fedha zote zinazohitajika,taratibu za kifedha zinaendelea kufanyika ili vyuo vilivyobakia viweze kupata fedha hizo kwa siku ya kesho.

Uongozi wa Tahliso unawaomba wanafunzi wote wav you vikuu ambao hawajapata fedha hizo kuwa watulivu wakati wakisubili kupata fedha zao,na hatua kadha wa kadha zinaendelea kuchukuliwa katika kuhakikisha wanafunzi wote stahiki wanapatiwa fedha zao kwa wakati.

Imetolewana :
ABDI MAHMOUD ABDI
MAKAMU MWENYEKITI TAHLISO.
14/08/2014

Kwanini si KAIMU MWENYEKITI.
 
"ABDI MAHMOUD ABDI"
Haya majina Serikali inajua kuwatumia sana sijui mkoje.
 
Back
Top Bottom