TAHLISO ni vibaraka wa CCM-Wasomi

TAHLISO ni vibaraka wa CCM-Wasomi

Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji wa mwenendo na tabia za ndugu DONATI PRIMI SALLa ambaye ni katibu mkuu wa TAHLISO pia ni makamu wa rais wa serikli ya wanafunzi saut mtwara,bwana huyu ni miongoni mwa viongozi wa ajabu ambao taifa hili limepata,

kwanza bwana huyu alikuwa ni mtu mwema sana wakati wa kutafuta uongozi lakini baada ya kupata akajionesha wazi kuwa ni kiongozi wa ajabu kweli hasa kwa kupenda pesa na uroho wa madaraka.

Ndugu salla anatumiwa sana na wanasiasa wanaotafuta urais mwaka 2015 ili waweze kuishika taasisi hiyo hali hii imekuwa ikileta kutofautiana sana na wenzake ndani ya tahliso hasa pale yeye salla anapotaka tahliso ikubali kutumiwa na baadhi ya wanasiasa kwa malengo yao ili yeye salla wampe pesa.

Ni miezi miwili tu imepita tangu salla alivyopewa fungu la pesa na mbunge mmoja wa jimbo la arusha ambaye pia anatafuta sana urais ili aishawishi tahliso ikubali kukutana naye ili wapange mikakati ya kumsaidia mzee huyo anayetafuta urais lakini wenzake ndani ya tahliso walimkatalia salla ndipo alichukia sana na kuanza kuwazushia skendo.

Leo nimeshangaa sana kuona salla eti anamtetea mwenyekiti wake nikacheka sana tena sana jinsi salla anavyomchukia mwenyekiti wake kwa misimamo yake leo awe mtetezi nikasema hapa kunakitu si bure swali likabaki ni kitu gani hicho naendelea kutafuta.

Salla anawachukia wenzake tahliso kwa kuwa eti wanamchelewesha kujenga kwa kukataa kufanya kazi na wanasiasa ambao hutoa pesa nyingi,salla unakumbuka maneno haya siku ile nani aliyatamka-mpaka uchaguzi mkuu uishe viongozi wa tahliso lazima tujenge wanasiasa watajileta tu"kama unakumbuka vizuri maneno haya nani aliyatamka?.

Ushauri kwako na vijana wengine hasa wasomi huu siyo wakati wa vijana na wasomi kutumiwa na wanasiasa ni aibu tusirambe miguu ya wanasaisa kamwe ni dhambi kubwa tusijaribu pia ni aibu sana.Lakini pia ndg SALLA cheo cha katibu mkuu mtendaji ndani ya tahliso kimetoka wapi make nimeona unajipa vyeo ambavyo havipo tahliso binafsi najua kuwa tahliso inakatibu mkuu hili mtendaji umelitoa wapi?
 
Hii nyingine tena nilidhani maskini tu na wasio na elimu ndiyo hutumika kumbe hata wasomi safari bado ndefu sana.
 
Mkuu vijana wameharibika japo bado wapo wengi wenye ujasiri wa kukataa kutumika nahao ndiyo watatuvusha na kutubakiza salama lakini siyo vijana wa aina ya salla hawa ni wanafiki.
 
Mkuu vijana wameharibika japo bado wapo wengi wenye ujasiri wa kukataa kutumika nahao ndiyo watatuvusha na kutubakiza salama lakini siyo vijana wa aina ya salla hawa ni wanafiki.

Kwani katiba ya TAHLISO inasemaje kunapotokea kiongozi mwenye matatizo kama huyu? Hakuna namna ya kumuondoa kwa kutumia katiba ya hiyo TAHLISO?
 
Janga lingine hili kwa watanzania lakini watu wengi hasa wanaharakati na viongozi wa taaasiasi mbalimbali imekuwa ni kawaida kwao kutumika na wanasiasa.
 
Kwani katiba ya TAHLISO inasemaje kunapotokea kiongozi mwenye matatizo kama huyu? Hakuna namna ya kumuondoa kwa kutumia katiba ya hiyo TAHLISO?
Nimependa wazo lako tahliso warudi kwenye katibu kwani ni upuuzi kuwa na katibu kama huyu.
 
Kuna vitu ukirekebisha Thread yako itakuwa nzuri sana!
Who is DONATI PRIMI SALLA kitaifa hadi useme....bwana huyu ni miongoni mwa viongozi wa ajabu ambao taifa hili limepata?
Pili hamkuwahi kufundishwa kwamba ni upuuzi wanafunzi kudhani mna nguvu kutuchagulia/kutupendekezea Rais wa nchi?
Hayo mengine ya nani kapata madaraka "ya kuongoza wanachuo" ni ya kiuanafunzi sitayajadili,ila tumieni vyema nafasi yenu vizuri ya kujisomea muwapo vyuoni!
 
Mkuu vijana wameharibika japo bado wapo wengi wenye ujasiri wa kukataa kutumika nahao ndiyo watatuvusha na kutubakiza salama lakini siyo vijana wa aina ya salla hawa ni wanafiki.

Wanaowaharibu vijana ni CCM.
 
Kuna vitu ukirekebisha Thread yako itakuwa nzuri sana!
Who is DONATI PRIMI SALLA kitaifa hadi useme....bwana huyu ni miongoni mwa viongozi wa ajabu ambao taifa hili limepata?
Pili hamkuwahi kufundishwa kwamba ni upuuzi wanafunzi kudhani mna nguvu kutuchagulia/kutupendekezea Rais wa nchi?
Hayo mengine ya nani kapata madaraka "ya kuongoza wanachuo" ni ya kiuanafunzi sitayajadili,ila tumieni vyema nafasi yenu vizuri ya kujisomea muwapo vyuoni!
Mkuu kunautamaduni umejengeka mwanafunzi akipata uongozi chuoni yeye ananguvu yakufanya kitu kwenye taifa hili kitu ambacho ni kupotea,
wangapi wamekuwa viongozi chuoni lakini walikuwa watulivu na kujali mipika yao hawa vijana wa leo mitihani kweli.
 
Back
Top Bottom