Taharuki ya Shambulizi la DDOS


yaah hauwez kufanya ddos pekeako achana na hizi za kununua hapa ninasemea zile za kufanya yaani hulipii kitu yoyote ni wewe tu na bando lako hata hawa wenyewe wanao kuuzia hzi traffics wanatmia bots kugenerate traffic so hapo huwez kua pekeako hata kidogo
 
Mtabinuka sarakasi zote ila ukweli hujitenga. kama n hivyo kwann iwe ni nyakati za uchaguzi tuuu? na nyakati za maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…