mwalidebe
JF-Expert Member
- Mar 27, 2016
- 425
- 248
Katika hali isiyokuwa ya kawaida imeripotiwa kuwa kila baada ya wiki mbili mwanafunzi au mwalimu lazima afe katika shule ya sekodari Kiluvya iliyoko manispaa ya Ubungo pembezoni mwa jiji la Dar es salaam.
Akieleza Mmoja wa wanafunzi anayesoma katika shule hiyo ya sekondari Kiluvya amesema toka siku hii ya leo kurudi nyuma kila baada ya wiki mbili tumezika mwanafunzi mwenzetu,tayari mpaka sasa tumezika wanafunzi watatu na mwalimu mmoja.
Amesema kuwa kutokana na hali hiyo tayari leo wanafunzi wote pamoja na walimu wote leo saa nane wanakutana kufanya maombi maalumu kwa ajili ya kuombea shule yao,maana mpaka muda huu tayari kuna mwalimu mwingine yuko hoi bin taabani.