Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Hizo hela zinaelekezwa kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mapema mwakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutawafanyia uchunguzi na ikibaiinika watajua kuwa hii ni awamu tofauti na awamu zilizopita
Hizo hela zinaelekezwa kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mapema mwakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio waliowastaafisha? Mabeberu ndio walipaji?
Toa tafsiri ya taharuki acha kurukarukaHata kama lugha ina walakini lakini muhimu ni kwamba jambo lenyewe lilikuwepo au halikuwepo.Nimasema hivyo kwa sababu yameshajitokeza mambo mengi nssf ambayo ni usumbufu kwa wazee na wanadhalilika.Mwaka jana palishaandikwa hapa kuwa wazee walicheleweshewa pensheni na wakati wanatafuta majibu mfanyakazi mmoja tunaambiwa akatoa kauli kwa wale wazee kuwa wanasaidiwa tu.Kauli ambayo ni ya ovyo mbaya na chafu kwa watu wazima wale.Usidhani taharuki ni mpaka watu wachapane ngumi na viboko.
Kamanda aisee...Bado ni uonevu sababu hele ikiingia benki siku hizi makato yamekuwa makubwa hivyo watapata pungufu ya waliozoea kupata
NSSF na mashirika mengine kama PSPF ni wachumia tumbowakubwa. Wao wanaangalia masilahi yao binafsi huku masilahi ya wazee wakiyalalia mlango wazi. Wapuuzi wakubwa!Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi January ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.
Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.
Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.
Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?
Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.