Taharuki mwaka wa uchaguzi Mkuu

Taharuki mwaka wa uchaguzi Mkuu

Richard mtao

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
270
Reaction score
377
Habari wanajamvi.
Leo nimeona ni vyema tujumbushane fujo la vurugu za mwaka wa uchaguzi. Mambo huwa ni mengi sana yanayofikirisha na yanayozua maswali mengi yasiyokuwa na majibu.

Rai yangu kwa watanzania wenzangu wote, tusiingie kwenye mtego wa wanasiasa, wao kama wanataka kuzuia au kukinukisha kama baadhi yao wanavyosema waacheni wakakinukishe wao na familia zaoo.

Tusiiubali kuumia kwaajili ya matumbo ya watu wengine, kila mmoja aangalie amani yake na familia yake.

Asubihi njema wakuu
 
"i prefer not to speak , if i speak, am in big trouble"

-Jose Mourinho
 
20250612_190153.jpg
 
Back
Top Bottom