bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,385
- 2,587
Ndani ya jahazi la kusadikika, Lenye uelekeo usiojulikana
Wadada kwa wakaka, wamebaki na bumbuwazi. Nahodha wa chombo hayupo wazi
Ile dira iliyokuwa mezani
Imeponyoka katoa matanga Kashona dera
Abiria kwa mabaharia, Wamebaki wanalia
Hichi ndicho kisa cha dira kugeuka dera, kama hujaelewa usijali mtafute Gen Z akutafsirie.