Taharuki Bagamoyo Road

Taharuki Bagamoyo Road

Hivi wewe ulikuwa uhame Septema Mosi au vipi? Mbona uliyoona hapo ni cha mtoto?? Ondoka darisalama mkuu si salama tena siku hizi. Hapo ni mzee Sirro alikuwa anaenda coco beach kuoga
 
Ni ving'ora, magari yanakimbia, magari ya deraya yanapita kasi yakipiga kengele na kelele. Hali inatisha, tuko kwenye taharuki kubwa wakazi wa Mwenge
ukitulia njoo utuhadithie tena, chungulia vizuri ukipigwa tutachanga plasta wana forum
 
Vinaelekea wapi au maghu anaenda ununio kule via bahari b . Usiniulize anafata nini .
 
Back
Top Bottom