Taharifa ya kukosekana kwa Umeme baadhi ya maeneo ya mkoa Wa kinondoni kusini

hakuna shida

Member
Dec 16, 2015
25
5
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO MKOA WA KINONDONI KUSINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa line ya Nordic imetoka ghafla majira ya saa 12 jioni hii Januari 21, 2015 na mafundi wamegundua kuwa kuna waya zimekatika eneo la Baruti. Maeneo yanayokosa umeme ni Baruti, Kimara, Korogwe, Mbezi Temboni, Mbezi Luis, Luguruni,Matosa na Kibamba. Umeme utarejea muda mfupi ujao.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
Back
Top Bottom