Tahadharini: Watumiaji wa e-mail | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadharini: Watumiaji wa e-mail

Discussion in 'Matangazo madogo' started by X-PASTER, Nov 9, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Watumiaji wa email kupitia http://www.hotmail.com, kuna watu matapeli ambao wanatuma jumbe za kukutaadharisha kuwa kuna matatizo katika anuani pepe yako na wanakutaka utume maelezo yako binafsi, hawa watu ni matapeli na msiwasikilize.

  Hapa chini ni moja ya email ambazo wamenitumia, kwa hiyo kuwenu na taadhari.

   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii kitu imekuwepo kwa muda mrefu sasa...na hadi leo kuna watu wanalizwa..!
   
 3. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hawa jamaa kama wangekuwa ni chama tunawaita ccm
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu, bora kukumbushana mapema.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa mkuu tutakuwa makini.
   
 6. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni CCM
   
Loading...