Ndio mkuu ni org. Wakati naanza maisha ya kujitegemea nilinunua kila kitu cha sony tena kipindi kike technical department yao ilikuwa mikocheni kule jirani na ilipokuwa Majembe auction.M na nilinunua kwa ushauri wao wa kiufundi kabisa, kweli nilikaa nazo kana miaka 3 hivi ikazingua moja nikaweka chonjo, sijakaa sawa ikazingua ya sebureni nikaona isiwe tabu nikatundika projector hadi leo ila Redio bado ninayo inadunda si kitoto.is it original sony?? nina moja hapa mwaka wa 4 huu!!
Unamaanisha nn kusema mafundi wa mtaani mkuu?Naomba muweze kuamini mafundi wa mtaani ni wazuri kuliko wa kampuni,wazenguaji halafu vifaa hawana
Gharama yake ni kiasi gani?Inafanya kazi ileile kama ya TV mkuu sema inatumia mwanga.
Ni projector kama zilivyo zingine sema yenyewe inatumia mfumo wa kisasa wa Digital Light Processing kutoa picha tofauti na zile zinategemea taa na rgb pekee, hii yenyewe imeongezewa kachip ndo hako kanaprocess hizo image kwa ubora zaidi.
Ukifunga hii hata kama una toto tundu home hautakuwa na stress za kuvunjiwa TV na manati, mana kitu kinamulika ukutani tena kwa size unayoitaka mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kwangu nilinunua laki saba na nusu.Gharama yake ni kiasi gani?
Ahsante sana mkuu lakini ingekuwa poa safi ukanishauri kimuundo au matumizi inakuaje? Yaani ni kama projector ya kawaida unatumie na PC au inakuwaje!! Natanguliza shukran mkuuYa kwangu nilinunua laki saba na nusu.
Ila unaweza pata chini ya hapo ama zaidi ya hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka picha nzuri tafuta yenye HDMI port unaunga na king'amuzi tu au PC hata DVD deki sasa hivi zipo zenye hdmi port.Ahsante sana mkuu lakini ingekuwa poa safi ukanishauri kimuundo au matumizi inakuaje? Yaani ni kama projector ya kawaida unatumie na PC au inakuwaje!! Natanguliza shukran mkuu
Lile duka ni mali ya MeTL ambao ni country dealer wa LG.Tuliwahi kudiscuss humu jukwaani kwamba karakana ya LG ipo Nairobi tu kwa East Africa?
Una uhakika hao jamaa ni official? Na sio wajanja tu wa mjini wanaojiita LG?
Kuwa dealer tu haitoshi kukupa utaalamu wa kufix hizi mambo, kama mafundi wanachukuliwa tu mitaani na hawapo proffesional trained na wenyewe LG inakuwa ngumu kutatua kila tatizo.
Ni kweli kabisa.Kuwa dealer tu haitoshi kukupa utaalamu wa kufix hizi mambo, kama mafundi wanachukuliwa tu mitaani na hawapo proffesional trained na wenyewe LG inakuwa ngumu kutatua kila tatizo.
Ndio mkuu ni org. Wakati naanza maisha ya kujitegemea nilinunua kila kitu cha sony tena kipindi kike technical department yao ilikuwa mikocheni kule jirani na ilipokuwa Majembe auction.M na nilinunua kwa ushauri wao wa kiufundi kabisa, kweli nilikaa nazo kana miaka 3 hivi ikazingua moja nikaweka chonjo, sijakaa sawa ikazingua ya sebureni nikaona isiwe tabu nikatundika projector hadi leo ila Redio bado ninayo inadunda si kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu.anyway technical faults zipo haswa kwa electronic appliances but so far kwa mtazamo wangu hawa jamaa (Sony) wapo vizuri katika electronics wanajua wanafanya nini!
Hapana fundi wa kudumu, leo niliingia workshop hawana vifaa vya kupima tatizo ni mtindo wa kubahatisha.