Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwazinaa
inarithiwa. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake au wote nao ni wazinifu au walikuwa wazinifu.tujiepusheni wandugu ili tuvinusuru vizazi vyetu kwani hata mwenezi mungu mtukufu anakataza zinaa.
Tabia hazirithiwi bali zinaigwa...na wanao wasipoiga kwako wanaweza kuiga kwa mtu mwingine yeyote yule.Kwahiyo hata kama wewe una nidhamu omba Mungu mwanao asiwe iga iga ama asikutane na watu wenye tabia mbaya na wenye uwezo wa kumInfluence vibaya.
Wala haihusu kabisa kama wazazi wa zinzi na watoto wawe the same,mbona utakuta mtoto anatoka kwenye family ya wasomo na akawa hajafata family yake hao tusemeje? rudi tena kachunguze.
Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwazinaa
inarithiwa. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake au wote nao ni wazinifu au walikuwa wazinifu.tujiepusheni wandugu ili tuvinusuru vizazi vyetu kwani hata mwenezi mungu mtukufu anakataza zinaa.
Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwazinaa inarithiwa. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake au wote nao ni wazinifu au walikuwa wazinifu.tujiepusheni wandugu ili tuvinusuru vizazi vyetu kwani hata mwenezi mungu mtukufu anakataza zinaa.
Mi naona kuwa Mtu muadilifu ataweza kusimamia vema uadilifu ktk jamii yake. Wazazi au wanafamilia wengine ndio chachu ya maadili mema iwapo wao watakuwa waadilifu mbele ya wale wanaowaona kuwa ni mifano ya kuigwa kwao. Kiimani pia inaiminika kuwa kila jambo baya hulipwa hapa hapa Duniani mfano Mzinifu usifurahi kuwazini watoto wa wenzako maana hata wako nao wataziniwa na wengine. Hivyo inatakiwa tujilinde na yote yale mabaya ambayo tunaisi tukifanyiwa sisi yatatukwaza hii pia itatufanya kuwa kioo cha jamii inayotuzunguka na kukemea kwa nguvu zaidi ouvu ktk jamii zetu.
Uwongo mtupumimi baba yangu sikuwahi sikia wala kuona ana mwanamke mwinginezaidi ya mama.....Sasa ukija kwangu mimi......Well......how do i say this.....lol