TAHADHARI ya Mvua Kubwa Tanzania

Mkuranga sio lazima iwe ni ile ya mkoa wa Pwani kwa Bwana Adam K.A. Malima, Mkuranga ziko nyingi.

Hata Dar tuna UK, na sio ile ya Ulaya kwa Malkia.
 
hawa jamaa taarifa zao haziaminiki kabisa. wakitangaza mvua kubwa hainyeshi hata kidogo wasipo sema inanyeesha balaa anyway tuchukue tahadhari

Nacheeka tu apa, ni Kama kutabiri Man
U itachapwa na ManCity 6-2 wakati wa kipindi cha pili lala salama, na City wanaomgoza 5-2 with mtu mmoja pungufu!!!!
 
Asante Maxe. Sijui ni mvua za kupandia aua za kuhamisha watu mabondeni maana huwa wanarudi mvua zikiisha
 
Hawa jamaa wa hali ya hewa ni kama shekh yahya, awaaminiki hata kidogo. Kesho utakuta jua kalii...
 
msiwaamini hao TMA kwani hawajawahi kupatia utabiri hata siku moja.wamekuwa wanasubiri tukio litokee ndo nao wanaunganishia hapo hapo.nao ni janga la kitaifa pia!
 
Utabiri wa Hali ya Hewa.... so hii haina uhakika wasubiri mishahara yao tu kazi zao ni ngumu
 
Tahadhari

Kuanzia: Tarehe 30 Aprili 2012 Mpaka: Tarehe 04 Mei 2012

Aina ya Tukio Linalotarajiwa: Mvua Kubwa (zaidi ya milimita 50 katika kipindi cha saa 24 kila siku)

Kiwango cha Uhakika: 80%

Eneo: Mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Tanga, Morogoro, Pwani na visiwa vya Unguja na Pemba

Maelezo: Kuimarika kwa mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika maneo ya Bahari ya Hindi yanayopakana na Pwani ya kaskazini.

Angalizo: Wakazi wa maeneo hatarishi, watumiaji wa Bahari na nchi kavu wanashauriwa kuchukua Tahadhari. Aidha Taasisi zinazohusika na Maafa zinashauriwa kuchukua hatua stahiki.

Maelezo ya Ziada: Mamlaka inaendelea kufuatilia mifumo ya hali ya hewa na kutoa taarifa kila itakapobidi.

IMETOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

MUNGU BABA atuepushe na hili,
Lakini kama kuna watu feki katika utoaji wa taarifa feki ni hawa wa mamlaka ya hali ya hewa tz,huko walikosoma nina wasi wasi nako,vinginevyo hawana vyombo vya uhakika.That's it.
 
Tahadhari

Kuanzia: Tarehe 30 Aprili 2012 Mpaka: Tarehe 04 Mei 2012

Aina ya Tukio Linalotarajiwa: Mvua Kubwa (zaidi ya milimita 50 katika kipindi cha saa 24 kila siku)

Kiwango cha Uhakika: 80%

Eneo: Mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Tanga, Morogoro, Pwani na visiwa vya Unguja na Pemba

Maelezo: Kuimarika kwa mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika maneo ya Bahari ya Hindi yanayopakana na Pwani ya kaskazini.

Angalizo: Wakazi wa maeneo hatarishi, watumiaji wa Bahari na nchi kavu wanashauriwa kuchukua Tahadhari. Aidha Taasisi zinazohusika na Maafa zinashauriwa kuchukua hatua stahiki.

Maelezo ya Ziada: Mamlaka inaendelea kufuatilia mifumo ya hali ya hewa na kutoa taarifa kila itakapobidi.

IMETOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

hivi hawa watu wa TMAA wameshawahi kutoa utabiri na ukawa wa kweli,.
 
Kwa wale wandugu mlioko mkoa wa Dar es salaam pamoja na Mtwara chukuen tahadhari kwani picha za satelite zinaonyesha kwa tar 02May hali ya hewa ni mvua asubuh mpaka usiku .
 
Huo ni UTABIRI tuu na ndiyo maana huwa ktk matangazo ya hali ya hewa redioni mwishoni husema "matazamio ni mabadiliko kidogo"
 
Tumezoea usanii na matisho haya.Mbona tarehe 01 imepita bila hata dalili za maana za mvua huku Morogoro?
Tahadhari

Kuanzia: Tarehe 30 Aprili 2012 Mpaka: Tarehe 04 Mei 2012

Aina ya Tukio Linalotarajiwa: Mvua Kubwa (zaidi ya milimita 50 katika kipindi cha saa 24 kila siku)

Kiwango cha Uhakika: 80%

Eneo: Mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Tanga, Morogoro, Pwani na visiwa vya Unguja na Pemba

Maelezo: Kuimarika kwa mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika maneo ya Bahari ya Hindi yanayopakana na Pwani ya kaskazini.

Angalizo: Wakazi wa maeneo hatarishi, watumiaji wa Bahari na nchi kavu wanashauriwa kuchukua Tahadhari. Aidha Taasisi zinazohusika na Maafa zinashauriwa kuchukua hatua stahiki.

Maelezo ya Ziada: Mamlaka inaendelea kufuatilia mifumo ya hali ya hewa na kutoa taarifa kila itakapobidi.

IMETOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
 
hawa jamaa taarifa zao haziaminiki kabisa. wakitangaza mvua kubwa hainyeshi hata kidogo wasipo sema inanyeesha balaa anyway tuchukue tahadhari

Sasa kaka ulitegemea taarifa zao ziwe sahihi wakati wote ni kamlete
 
Back
Top Bottom