Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,445
- 3,403
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetoa utabiri wa hali ya hewa hatarishi kwa siku tano ambapo mvua kubwa inatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera, Mara pamoja na Magharibi mwa mkoa wa Simiyu.
Mamlaka hiyo imesema uwezekano wa kutokea kwa mvua hizo ni wa wastani huku kiwango cha athari kinachoweza kutokea pia ni cha wastani.
Athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji, ucheleweshwaji wa usafiri na kusimama kwa muda kwa baadhi ua shughuli za kiuchumi na kijamii.