Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
mkuu mbona kama umepanic????
nimepanick sababu ya udini kwenye hoja ambayo mleta mada hakuweka kabisa udini
unaposoma quoted post, si vibaya kuisoma iliyo kuwa quoted as well
BTW, we unaona poa??
jamaa ni zero kabisa.. mleta mada kaleta clear angalizo ila yeye tayari akawahi kule akili fupi ilipo