tatizo usafiri wa umma na hili joto la Dar
yeah maana wengine kukumbatiana ni nadra ila kwenye daladala ni balaahii nayo ina makes sense Dah
mwando wa Txfy tu kwakweli au ngondii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mwendokas kule ni zaid ya kukumbatiana kule ni nyama kwa nyama na madungadunga aka gropers ule usafir ni janga lingine nadhan william gates alikua sahihi kusema hii ngoma ikitimba africa itakua massacre God forbid

“Katika kipindi hiki cha tishio la virusi vya corona nawataka Wananchi wajizuie kabisa kupeana mikono.
kukumbatiana na kupeana mabusu, najua ni ngumu hii kwa Watanzania lakini tujitahidi ili kujiepusha na kuwaepusha wenzetu na maambukizi”- WAZIRI UMMY
“Njia kuu za kuambukizana corona zinatoka kwenye majimaji, kwahiyo unavyombusu, kumkumbatia au kumshika mkono mwenzio unamuweka kwenye hatari.
na kama utampa mkono haraka kanawe maji, kwa kipindi hiki tusalimiane hata kwa ishara na usipopewa mkono usinune” -WAZIRI UMMY MWALIMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshafika Ndege Moja
Swali la kwanza...“Katika kipindi hiki cha tishio la virusi vya corona nawataka Wananchi wajizuie kabisa kupeana mikono.