Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,556
- 1,784
Kuna hili tangazo kwenye hii page feki ya Crdb ya Facebook ya kutaka ku activate PayPal account yako kabla ya tarehe 20/02/2017 na utaingiza email yako na password.
Hii sio ukweli na nashangaa kwa nini crdb wana acha watu wa kutengeneza page feki mpaka inafikia likes 15000+ hii ni hatari kwa tahasisi kubwa kama crdb.
Hii sio ukweli na nashangaa kwa nini crdb wana acha watu wa kutengeneza page feki mpaka inafikia likes 15000+ hii ni hatari kwa tahasisi kubwa kama crdb.