Tahadhari! Watumiaji wa bandari wote kupimwa kilevi

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Taarifa kwa Umma wa Dar es salaam

Watu wote watakaoingia bandarini kuanzia tarehe 15 Februari 2016 watakuwa wanapimwa magetini kabla ya kuingia kuona kama wametumia kilevi cha aina yooyote. Soma zaidi chini

12669597_666143060194512_676748827757032245_n.jpg
 
Back
Top Bottom