Ha ha haMwanamke anaekupiga mizinga kila kukicha sio wa kuanza nae maisha...Huyo hana mpango na wewe anakutumia kufanikisha ishu zake asepe,Tuwe makini nao sana hawa wa hivi,mbaya zaidi wanawake wa hivi wanakuwa visu balaa mpaka tunashindwa kuchomoka!
Shunie anaumwa mkuuSakayo shunie yuko wp?!
Acha kufunza Wenzio uchoyo/ ubahiliMwanamke anaekupiga mizinga kila kukicha sio wa kuanza nae maisha...Huyo hana mpango na wewe anakutumia kufanikisha ishu zake asepe,Tuwe makini nao sana hawa wa hivi,mbaya zaidi wanawake wa hivi wanakuwa visu balaa mpaka tunashindwa kuchomoka!
Punguzen mizinga isiyo ya maanaAcha kufunza Wenzio uchoyo/ ubahili
Anaumwa nn?!Shunie anaumwa mkuu
Ana malariaAnaumwa nn?!
MPE pole mungu atamsaidiaAna malaria
Kwan mnauuza maana raha wote tunapata....au ndio malipo ya hudumaSasa unataka akamuombe nan hela jamani eeh! We mbna ukimuomba kila cku anakupa akikataa utasema oh umepata bwana acha na yeye akupge mizinga
AtaitikaMPE pole mungu atamsaidia
HahahahahahhahahhaLadies! A man who cannot sweat for you, should not sweat on you!!
Kweli mmekuwa vingiKwakwel visu vimekuwa vingi