Tahadhari utapeli SACCOS

Tahadhari utapeli SACCOS

luvcesy

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
99
Reaction score
37
Kuna kampuni inajiita Credit Saccos inatoa mikopo online naombeni kwa wanaoijua vizuri maana nimekuja hapa palipo address yao hakuna kampuni kama hiyo.

Nimejiribu kuwasilian nao kwa namba zao wakipokea hawatoi exactly the place walipo.

Tuwe makini maana inaoneka hawa jamaa ni hewa.link yao hii hapa http://www.creditsaccostz.wapka.mobi
 
Serikali inalichukuliaje hili suala maana najua watu wengi sana watakua wamelizwa kwa jinsi ilivyo rahisi kujipatia pesa kwa hawa matapeli
 
Back
Top Bottom