Tahadhari: Utapeli (mwanajamhuri street)

Tahadhari: Utapeli (mwanajamhuri street)

LIVELIFE

New Member
Joined
Jan 31, 2022
Posts
2
Reaction score
0
KWENYE NAMBA MBILI TOFAUTI NIMEPOKEA MESEJI HIZI. MWANAJAMHURI leo ni tarehe 26.10.2022. Jione una umuhimu sawa na wengine kuchangia ulinzi shirikishi sh.20,000 mwezi wa 10.Wasiliana na Mtenga 0712775292.

kaa mbali na huu utapeli, ikumbukwe kuna "BULK SMS technology" kupitia technologia hii unaweza tuma sms kwa watu wengi kwa kupitia shortcode, huyu katumia "MSG007" Ukifungua mesji unaona mtumaji ni JAMHURI ST

 
Back
Top Bottom