kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Kila ifikapo tarehe 1 april kila mwaka ni sikukuu ya wajinga. Tahadhari ni kwamba unaweza kuambiwa kitu ukapuuzia ukijua ni utani au ukazingatia kitu cha utani ukajua ni kweli.
Kuna watu mpaka wanabandika matangazo ya kazi kumbe ni jokes tu.
Kiujumla ni siku ambayo watu wanahangaishwa sana! Nadhani kuna watu hata humu wamewahi kupata usumbufu huu! Jihadhari!