tiGo is a whole bucket of wet bullcrap, won't recommend it to anyone!!!
hao nao wanaowaita kwenye interview wako machenical sana..why hawatumi email...au hawana vibwebwezo na tarakishi maofisini mwao
tiGo is a whole bucket of wet bullcrap, won't recommend it to anyone!!!
Kama unaomba kazi mahali nakushauri usiweke namba yako ya Tigo kwenye barua yako au CV kama namba ya mawasiliano utakosa kazi. Nimeshuhudia live jamaa watano wanasema hawakupigiwa simu kutaarifiwa kuhusu usaili. Lakini ukweli ni kuwa walipigiwa simu, ila wote simu zao zilikuwa zinasema hazipatikani. Wao wanaseme hawajahi kuzima simu, maana wanategemea kuitwa kwa usaili sehemu mbalimbali.
Hivi TCRA wansemaje kuhusu tabia ya Tigo/washirika wao kumtumia mtu meseji 20 kila siku kuhusu promosheni n.k.
me nshawaandikia complain zangu kwa wall yao ya facebuk mara kibao hakuna reply,nikaamua kuitupa line yao chooni,hamieni mitandao mengine jamani...kinachonishangaza mbona tigo hata hawaonyeshi hali ya kuguswa na haya matatizo waliyosababisha wao wenyewe, Hata kutuma message ya sory kwa customers jaman