Hapana sijawahi mkuu,shida uandaaji wake huwa naufikiria maana unakuta mtu ana michupa mitatu mixer kifuko cha vikombe vyote kashika yeye akiitwa anaweka chupa chini anashika vikombe vyote kwa mikono,humo barabarani akikutana na mtu wanayefahamiana ataweka chupa chini kisha watapeana mikono sasa najiuliza anajua kabisa anawauzia watu chakula kuwaje ashikane shikane mikono hovyo na watu?Ushawai kutumia mkuu ?
Yah ni hatari sana mkuu hivi vitu mwisho wa siku mtu unajikuta na wewe unaumwa TB au magonjwa ya kinywa unaanza kumuhisi mwenzako nyumbani anakuchezea rough kumbe kulakula kwako hovyo ndo kumesababisha.Hata kahawa za vijiweni vile vikombe vinasuuzwa tu kishikaji na maji hayo hayo mwanzo mwisho.
DiasporaUSAKaffir wewe
Padri, 91 akiri kuwa mpenzi wa jinsia mojaUmewahi kuta mkristu amevaa kanzu anazunguka mtaani anayauza hayo makitu ya hovyo? Waislamu ndio wahusika na watumiaji wakubwa, huenda ndio mnaoongoza kwa upungufu wa nguvu za kiume ndio maana mnabuni boosta mbalimbali kama hiyo. Hii huenda huwa mnatangaziwa msikitini muitumie kwa wingi.
Padri, 91 akiri kuwa mpenzi wa jinsia mojaje tunaweza kuujudge uislamu kwa tabia na mienendo ya mtume mohammad?
Sent using Jamii Forums mobile app
BBC - Homepage › news › how-...
Kwani nabii Tito ni Mkristo?Je tunaweza kuujudge ukristo kwa tabia na mienendo ya nabii Tito?
Ni matakwa ya wale watengenezaji,kuna dogo mjini namfahamu vizuri na ni Christian nilionana naye umevaa kanzu na kasusu anauza nikamuuliza umehamia upande wa pili? Akasema hapana ametafuta kanzu ili apate kazi, ile alikasusu inaandaliwa na baadhi ya watu,kigezo cha kupata kazi lazima uende na kanzu,maana ukiuza unapeleka hesabu
Kanzu ni vazi Bora kuliko vazi lolote duniani, ni vazi ambalo ukilivaa utaheshimika zaidi kuliko mavazi mengine.
Aah, we vipi hizo kanzu si zinaashiria uislam au?Kwanini??
TAHADHARI!!!
Huu uzi haupo kidini,ni mada imewekwa mezani nahitaji michango ya wadau.
Anaezungumzia Udini apuuzwe na kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kuhusu usafi ktk wauza vyakula na vinywaji matunda yalio andaliwa kwakukatwakatwa tayari kwa mlo tz nishida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni take away na kina mikono ya kushikiaHapana sijawahi mkuu,shida uandaaji wake huwa naufikiria maana unakuta mtu ana michupa mitatu mixer kifuko cha vikombe vyote kashika yeye akiitwa anaweka chupa chini anashika vikombe vyote kwa mikono,humo barabarani akikutana na mtu wanayefahamiana ataweka chupa chini kisha watapeana mikono sasa najiuliza anajua kabisa anawauzia watu chakula kuwaje ashikane shikane mikono hovyo na watu?
Kama mtu katoka kufanya haja zake huko usalama wa mlaji uko wapi?muuzaji mwenyewe naye unakuta kanzu chafu chini kavaa sandals chafu chafu alimradi vurugu nikiangalia hivi naona bora hata nisionje,ila kusema inaongeza sijui nguvu...wala usiamini,ni uwongo maybe kwa sababu sijawi kutumia ila ukweli ni huo.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ni muislamu
Naam, je tutaweza kuujudge ukristo Kwa tabia na mienendo ya ukapera wa yesu mnazarethi? Kanisa la Anglican au catholic?je tunaweza kuujudge uislamu kwa tabia na mienendo ya mtume mohammad?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio.Je tunaweza kuujudge ukristo kwa tabia na mienendo ya nabii Tito?