Tahadhari: Lifts(Elevators) zinaweza kuua!

Pole sana Mkuu..This is Simba.. Oooh sorry this is Africa..
 
Umenikumbusha hadithi ya MDUARA ilikuwa inatoka kwenye gazeti la Sani miaka ya nyuma mwandishi akiwa Hussein Tuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia ni mhanga, jengo la Mega complex Arusha, floor ya tano Kenyatta University.
Tulikuwa watatu vidume wote, jamaa yangu akaanza kulipiga ngumi, mlango mgumu balaa, Dakika kama Tano, Jenereta likawashwa hapo tushaanza onja joto ya jiwe kijasho.
Ni ombea mtu tu akusimulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiingia kwenye lift za huko lazima uombe sala ya mwisho
Lakini kwa mimi bora nifanye mazoezi hata kama ni 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lift za vioo labda majengo mapya na kwenye malls.
Kuna siku nimeenda ubungo plaza kuingia kwenye lift nikawa nasali isizime maana hapo tu lift haina hata ac unawaza ikizima si ndo mnakufa humo humo
Halafu sehemu nyingine lift zinajaa balaa! Kama lile jengo la RITA pale karibu na Bilicanas. Unaomba Mungu lisitokee jambo baya maana inabidi hiyo rescue action isichelewe hata kwa dakika moja amasivyo itakua balaa kwa watu wanavyojazana
 
penda sana kuwaza nje ya "box"

Mimi nina wasiwasi kama Anaomba ushauri Angemuomba PAPUCHI "she"

Nawaza kwa sauti tu
 
Ndio hapo unajua roho ya binadamu kutoka ni kitu cha sekunde tu mkuu
Sisi mwanzo tulipanic sana ila tukasema tupige zile namba za dharura, zote hata haziiti hata, tukaanza kutaniana tunakufa wote taratibu kwa kukosa hewa, tunacheka lakini ukipima mapigo ya moyo kila mmoja ana wasiwasi balaa.
Yaani dakika tano au saba utadhani mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu sehemu nyingine lift zinajaa balaa! Kama lile jengo la RITA pale karibu na Bilicanas. Unaomba Mungu lisitokee jambo baya maana inabidi hiyo rescue action isichelewe hata kwa dakika moja amasivyo itakua balaa kwa watu wanavyojazana
Yani hapo wenyewe tulikua kibao. Hewa hamna na lift haina ac. Nilivyokua nashuka nikapanda za upande mwingine ndio ziko automated kidogo
 
penda sana kuwaza nje ya "box"

Mimi nina wasiwasi kama Anaomba ushauri Angemuomba PAPUCHI "she"

Nawaza kwa sauti tu
kajamaa kadogo wakati maisha yako yapo hatarini hakuna kingine kitakachoingia akilini mwako na kwenye hisia zako zaidi ya kuomba uokolewe/uokoke na janga hilo tu. Tena utaweka ahadi za kila aina kwa Mungu wako kua ukitoka salama utaacha dhambi zote πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Lift za vioo labda majengo mapya na kwenye malls.
Kuna siku nimeenda ubungo plaza kuingia kwenye lift nikawa nasali isizime maana hapo tu lift haina hata ac unawaza ikizima si ndo mnakufa humo humo
Huo wasiwasi ulonao siku Mimi imenipata kama ungekuwepo nadhani ungetabasamu tu kwa kuwa tulianza kutaniana japo hewa hamna.
Kwakweli yake ni makaburi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…