Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,751
- 19,705
- Thread starter
-
- #181
Kama ukiliweza hilo ni uwamuzi mzuri sana ClkeyKiukweli binafsi kuanzia ghorofa ya kwanza - tatu huwa sipandi lift kabisaaa napiga zangu mdogo mdogo,naogopa mnoo na ikinilazimu kupanda hadi nifike niendako huwa nahisi presha kabisaa, sizipendi kabisaaaa.
Tatizo kuna sehemu unakwenda ghorofa ya nane au ya kumi mkuu, sas ukisema upande ngazi na joto la Dsm utajikuta umetoka jasho kama upo mazoezini wakati unakwenda kwenye ofisi za watuUsitumie lift bongo,kula ngazi tu
Sio kama nikiliweza , naweza kabisaaa napandisha nikichoka napumzika hadi nifike, bora kuchelewa lkn niwe na Amani ya moyoKama ukiliweza hilo ni uwamuzi mzuri sana Clkey
Hongera sana nami nadhani nitaanza kukuigaSio kama nikiliweza , naweza kabisaaa napandisha nikichoka napumzika hadi nifike, bora kuchelewa lkn niwe na Amani ya moyo
Ahsanteeeeee,ndio uanze sasaHongera sana nami nadhani nitaanza kukuiga
Pole sana nyantumba mambo hayo kama hayajakukuta huwezi kupata picha halisi. Na harusi ukaiona chungu. Bilashaka sasa hivi kabda ya kupanda lift unajiuliza mara mbilimbiliumenikumbusha 2016 ilikuwa siku ya harusi ya mdogo wangu, kwenye hoteli flani pale ubungo tulikuwa watatu tunashuka kwenye lift tumpeleke bibi harusi salom. umeme ukakatika tena ule wa mgao wa kukatika asubuhi kurudi jioni. sitasahau jamani tulikaa kwenye lift karibu nusu saa ilikuwa hekaheka mpaka kugundulika tumekwamia wapi, kumbe bahati nzuri tumekwama ground flour yani tulishafika chini, ndio ikaletwa chepe ikaingizwa kwenye mlango ukaanza kufunguliwa kwa lazima kukapatikana tu kaupenyo cha kuingiza hewa, wenzangu wawili niliokuwa nao walisha faint chini nguvu zimewaisha wanaswet balaa, mimi nimekazana na maombi jamani dah. tunasikia tu nje wanasema generator automatic ni bovu sijui na fundi hapokei simu jamani dah! sijui alitokea wapi msamaria mwema akachokonoa generetaro likawaka ndio mlango ufunguke tukatoka. sikuamini kama tumetoka salama kutokana na story za lift ambazo nishazisikiaga. kweli Mungu alitusaidia
Nakuhakikishia naanza leo hiiAhsanteeeeee,ndio uanze sasa
Safiii sanaNakuhakikishia naanza leo hii
Na uonavyo lift za Tanzania nzima zipo kama za hapo unaposema?
Sasa unaniambia Mimi tena?Usije ukarudia tena kulazimisha mlango wa lift kufunguka
Pole sana, naelewa hali hii mkikaa mda hata dakika 5 ni mlimaumenikumbusha 2016 ilikuwa siku ya harusi ya mdogo wangu, kwenye hoteli flani pale ubungo tulikuwa watatu tunashuka kwenye lift tumpeleke bibi harusi salom. umeme ukakatika tena ule wa mgao wa kukatika asubuhi kurudi jioni. sitasahau jamani tulikaa kwenye lift karibu nusu saa ilikuwa hekaheka mpaka kugundulika tumekwamia wapi, kumbe bahati nzuri tumekwama ground flour yani tulishafika chini, ndio ikaletwa chepe ikaingizwa kwenye mlango ukaanza kufunguliwa kwa lazima kukapatikana tu kaupenyo cha kuingiza hewa, wenzangu wawili niliokuwa nao walisha faint chini nguvu zimewaisha wanaswet balaa, mimi nimekazana na maombi jamani dah. tunasikia tu nje wanasema generator automatic ni bovu sijui na fundi hapokei simu jamani dah! sijui alitokea wapi msamaria mwema akachokonoa generetaro likawaka ndio mlango ufunguke tukatoka. sikuamini kama tumetoka salama kutokana na story za lift ambazo nishazisikiaga. kweli Mungu alitusaidia