Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!
 
Mi nshamdharau tangia kipindi kile alivyovunja ndoa ya mbasha.

Ni upuuzi na ulofa mkubwa sana kwa kiongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

Sijui hata hao waumin wake kawalisha nini
 
We kama nani unatufundisha sisi.Unamfindisha mtoto kulia au Samaki kuogelea? Acha kuwaamulia wafuasi wa Gwajima nini cha kufanya.Kama we ni mpagani basi ni shauri yako
 
Sijakuamulia mkuu!
Nimetoa tahadhari...kama wewe ulishamjua ni msanii siku nyingi wengine hawamjui na wana haki ya kutahadharishwa.
 
Alichofanya ni kuweka wazi uongo uliopikwa na Dr...kwa hiyo ili uwe mkweli ni lazma uweke vielelezo vyote wazi ili watu wavipime. Alivosema haamini kama ni yule dr aliyemfaham mlipiga kelele na kusema hakujib chochote. Truth is indivisible
 
We kama nani unatufundisha sisi.Unamfindisha mtoto kulia au Samaki kuogelea? Acha kuwaamulia wafuasi wa Gwajima nini cha kufanya.Kama we ni mpagani basi ni shauri yako

sisi kinachotuuma ni ndugu zetu waumini,aina ya wachungaji kama ngwajima,hachelewi kukuita ufyonze maziwa ya baraka toka kwenye naniliu yake,eti ili utokwe na mapepo...
 
Waumin wake wangehusika km angeongelea kanisani ni upoyoyo tu kuwaza hivi
 
Bahati nzuri Dr Slaa ni mtumishi wa Mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.

Gwajima naye ni mtumishi wa Mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa Dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.

Kwa pamoja wote ni watumishi wa Mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.

Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.
 
Back
Top Bottom