Tahadhari kwa watumiaji wa Barabara ya Mwenge kutokea Africa Sana

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
9,253
8,343
Barabara hii imejifunga kwa muda, mvua ya usiku huu imesababisha mti kuanguka katikati ya barabara maeneo TRA na kufunga barabara, kesho asubuhi msijichanganye kupita huku
 
Poleni wanadarisalama kwa adha mm nipo Garijembe...naelekea Madibila...
 
Kutokea mwenge mwisho, unapovuka tuta la pili msikitini kata kulia kisha mbele kona ya kwanza kushoto utatokea mapambano primary school.

Mnaotoka Afrika Sana tumieni diversion kupitia barabara ya kanisani....
Barabara hii imejifunga kwa muda, mvua ya usiku huu imesababisha mti kuanguka katikati ya barabara maeneo TRA na kufunga barabara, kesho asubuhi msijichanganye kupita huku
 
1090058
 
Back
Top Bottom