Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Oct 15, 2010 #1 Fungua hapa 1. Google Tafsiri 2. http://www.youtube.com/results?search_query=credit+card+skimming&aq=2 uone video tofauti zinazoonyesha mbinu na vifaa mbali mbali zitumiwazo na wazi wa fedha katika ATM mashine. Nyamayao na mwenzio preta kuweni waangarifu mnapokwenda katika mashine za ATM msije mkaibiwa vijisenti vyenu
Fungua hapa 1. Google Tafsiri 2. http://www.youtube.com/results?search_query=credit+card+skimming&aq=2 uone video tofauti zinazoonyesha mbinu na vifaa mbali mbali zitumiwazo na wazi wa fedha katika ATM mashine. Nyamayao na mwenzio preta kuweni waangarifu mnapokwenda katika mashine za ATM msije mkaibiwa vijisenti vyenu
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 319 Oct 16, 2010 #2 Inabidi kuwa makini sana, ama sivyo siku mtu utalia baada ya kukuta vijisenti vimeyeyuka toka kwenye akaunti
Inabidi kuwa makini sana, ama sivyo siku mtu utalia baada ya kukuta vijisenti vimeyeyuka toka kwenye akaunti