lakini lazima ulienda mnadani ..... ukabonyeza na valuer ...... memory ikaenda kwao
uwez sema pole instead of kulaumu tu?
ulimpeleka wewe uko maveleur?
Duh!
Poleni wageni.
Siku nyingine mkija mtuombe wenyeji wenu ulinzi.
Maana wenyeji hawatuibii wanatuogopa.
Du, uwe tayari kutoa ulinzi kwa wengi, ila hujasema gharama za huo ulinziDuh!
Poleni wageni.
Siku nyingine mkija mtuombe wenyeji wenu ulinzi.
Maana wenyeji hawatuibii wanatuogopa.