Tahadhari kwa wanywaji wa Castle Light na Tusker | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kwa wanywaji wa Castle Light na Tusker

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Fidel80, Mar 17, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Naona sasa kuna mizigo mingi imechakachuliwa kuna Castle Light za kichina kuweni makini. Hii Castle Light si ya TBL na ile Tusker si Serengeti sasa wameamua kufanya cocktail wapiga kilaji wa hivyo vimiminika nawatadhalisha sana usije ukashangaa unahalisha usiku mzima mpaka asubuhi usijue chanzo ni nn.
  Ni tahadhari kwa Marafiki wote nawapenda wote na nina wajali sana angalizo tu hilo.
  Tumezoea kuona Konyagi feki, Heineken feki n.k
  Maana wabongo kwa ubunifu ni balaa hawashindwi kitu.
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wee fidel80 hiyo tusker hapo juu umeifanyaje:lol::lol:
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Japo umechakachua simbaya kwa tahadhari ila ngoja niseme hiki kitu nilitaka kukianzishia thread ila kwakuwa umeanzisha senks kwa hata bandwidth ya jamii nitakuwa nimeipa uwezo swala langu nihivi mimi nilikuwa natumia ndovu,nikaamua kwenda ktk castle lite lakini nikajakugundu kitu kimoja!,Kwanza nimekuwa nikipata usingizi hata nikiwa nimekaa nimepima hspt sina sukari ipo nomal,pili perfomernce kama imeshake!kidogo hivyo nimeamua kurudi kwenye castla lager,je kuna baadhi limewakuta hili??
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mimi mtu anae kunywa Castle Light huwa namwogopa sana maana mm nakunywa Nondo safari Lager, Castle Milk, au Kili sasa huyo wa Castle Light ni hasara sana mtakuwa mnaenda 3 in 1
   
 5. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chupa Tusker, label Castle Light?
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah TBL wamechakachua chupa ya Tusker mpya
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,407
  Likes Received: 5,679
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama inalewesha mapema we sahau ..uzuri ukiarisha unakuwa ujitambua then ukiamka uko fit..ukianza kufwatilia nakwambia hutokula hata chakula kimoja si mjini ama cha mkeo ndugu

  kuna mafuta yanaitwa sundrop wengi wamesifia lakini leoe hii nikikwambia yanachanganywa na korie gorofa moja liko kati kati na yanapigwa sili kama kawaida uwezi amini...ni maumivu kila sehemu ndugu yangu.....we cha maana fuatilia utujulishe kama inalewesha fasta ni pm nikupe tenda kuna sherehe kubwa hivi karibun tunatumaini kwa kuwa si origin na bei itakuwa si origin...
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,407
  Likes Received: 5,679
  Trophy Points: 280
  kuna marafiki zangu wanatengeneza value pale sinza hongera nyumba za karibu na konyagi nkikwambia zinafungwa na sili ya tra unayoiona uwezi amini na ndio maana pale afrikasana vijana wengi wamekimbilia sana value inalewesha kuliko original na moja ya kionjo cha kutngenezea ni mkojo uliolala kwa muda kadhaa...ni ngumu hii nchi tushakufa hata alieleta ukimwi anajitafutia dhambi zzisizomhusu vyakula vyeneyewe vinatumaliza
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Sikuhizi nakunywaga kwenye minuso fullstop!!!!!!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha umeniacha hoi ndo nyie kwenye minuso mnakunywa Heineken
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,407
  Likes Received: 5,679
  Trophy Points: 280
  nyumban value,konyagi harusini heineken..safi sana lazima uwe na standard si kila sehemu maharage tu lazima ubadilishe mboga mara moja moja
  goodboy
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  KK hilo la usingizi ni kweli kabisa maana ukiikamata poa unafikia kulala tu hata ile haki ya baba na mama unaona kero.
  Nikija tena nitakunywa Kili kha
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi nakwambia hamia kwenye Balimi wewe umekuwa mbishiiii au kunywa Safari Lager tu
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280

  mkuu umeshaamsha kiu kilichokua kimetulia sasa... usingebandika hiyo picha hapo halafu saa zenyewe bado kabisa hizi lolz
   
 15. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  acha uzushi wewe mywa juice!!
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hivi grand malt nayo ina madhara?
   
 17. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Si unajua huku nakunywa Club Safari hakuna huku bana mmmhh balimi kumbe hunipendi
   
 19. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #19
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hv Vitusker ni bia moja hovyo sana na ndio maana wameamua kuichakachua castle lite.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Lengo si uamshe akili
   
Loading...