Tahadhari kwa wanaume wote !

Tahadhari kwa wanaume wote !

Kyooma

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
224
Reaction score
98
Kujenga nyumba inawezekana kama tutazingatia hili.
attachment.php
 

Attachments

  • 1609565_623061707759582_1349480645_n.jpg
    1609565_623061707759582_1349480645_n.jpg
    64.5 KB · Views: 745
Mimi nitajenga kwa juhudi zangu za kutafuta mapema aka mkwanja na still bado nitakuwa nahonga.

Nahakikisha napata kipato kikubwa then naonga as usually.
 
mawazo ya mtu masikini ni tofauti kabisa na ya mtu tajiri!

halafu hao hao wakishapata vipesa vya bagia, huwa wanajisahau kabisa kama walikuwa na malengo hayo!

kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na pesa sana miaka ya nyuma wakati anauza dhahabu kule nyamongo!

basi kijana huyu kabla hajazigusa, alikuwa na malengo lukuki ikiwemo kama la mtoa mada. kijana aliishia kutumbua vimilioni

vyake vya dhahabu alivyokuwa akivipata miaka hiyo ya nyuma! alifikia kipindi anakodi gari kutoka nyamongo na kuja kula

starehe villa park mwanza, hapo malengo ya kujenga sijui aliyapeleka wapi!!!

basi bana, mali bila daftari, husepa bila information, kijana baada ya miaka miwili akafulia kabisa kabisa akiwa hajafanya chochote. pamoja na kupata pesa nyingi sana wakati anauza uza madini, hakuweza kujenga hata room moja.

wakati mwingine, kutimizika kwa malengo kunatokana na kichwa mtu kimekaaje na amejipangaje na hata kutoka na kuona wengine wamefanya nini zaidi yako, inasaidia sana kutimiza malengo yako!

lakini endapo utakuwa wewe kila siku uko na watu wale wale wa jana na leo, mtaishia kushauriana mambo yale yale na wengine ndio hao watakaokua wana kuvunja moyo! hutofika popote pale.!
 
Mimi nitajenga kwa juhudi zangu za kutafuta mapene aka mkwanja na still bado nitakuwa nahonga. Nahakikisha napata kipato kikubwa then naonga as usually.

king of the kings!
 
Hii thread ya hivi juzi tuliijadili close topic
 
kama fursa ipo kwa nini nisimuhudumie nimpendae.
 
Ila sasa hivi ukiwa na mkono mfupi nae kupata mpenzi unae mtaka heee! Sijui hata hela ya pedi hakuna teeh!!
Utaishia kuvizia beki tatu atumwe sokoni..!!!
 
Back
Top Bottom