Tahadhari kwa wanaume juu ya wanawake

Tahadhari kwa wanaume juu ya wanawake

Kuhonga mbona hujalizungumzia??
1. Ukimpa mwanamke pesa kabda ya ngono ni rushwa, ukimpa baada ngono ni asante.
2. Ukimpa mwanamke ajira baada ya ngono ni rushwa, Ila mkingonoka baada ya ajira ni asante.
3. Ukimpa mwanamke lift kwa mara ya kwanza kisha ukamuomba namba ya simu umemtamani, usipomuomba atakuzarau.
4. Ukikutana na mwanamke kwamara ya kwanza ukumuuliza jina akakujibu bila kuuliza lakwako, huyo achana nae.
5. Ukimpa mwanamke lift kwa mara ya kwanza, simu yake iko pochini mara anaitoa na kuanza kuichezea jua anataka umuombe namba ya simu, achana nae.
6. Ukimpa mwanamke lift kwa mara ya kwanza kisha unamuuliza anashuka wapi nae anakuuliza kwani unakwenda mpaka wapi, huyo achana nae.
 
He he he he
kweli haya madini hatari sana
 
Ameni "maana wengi wameangushwa kwa uzuri wa mwanamke"
 
Back
Top Bottom