Tahadhari kwa wanaume juu ya wanawake

Tahadhari kwa wanaume juu ya wanawake

Makoja

Member
Joined
Mar 21, 2018
Posts
33
Reaction score
76
1Usimwonee wivu mke umpendaye;
utakuwa umemfundisha namna ya kukudhuru.
2Usimwachie mwanamke ukuu wako,
la sivyo atakutawala kabisa.
3Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya,9:3 Kiebrania: Mke … mwingine: Kigiriki: Mwanamke mwenye tabia mbaya.
la sivyo utanaswa katika mitego yake.
4Usishirikiane na mwanamke mwanamuziki,
la sivyo, utanaswa kwa werevu wake
5Usimtazame kijana msichana mzuri;
la sivyo, wewe na yeye mtapata adhabu ileile.
6Usimpe malaya moyo wako,
la sivyo utapoteza nchi yako yote.
7Usipepesepepese macho mitaani mjini,
wala kuzururazurura kwenye maeneo yake ya pekee.
8Usimtazame mwanamke mzuri,
usimkodolee macho mwanamke mrembo asiye wako.
Maana wengi wameangushwa kwa uzuri wa mwanamke,
maana jambo hilo hufanya tamaa kuwaka kama moto.
9Kamwe usiketi na mke wa mtu,
wala kuketi naye kunywa pombe;
la sivyo moyo wako utampenda
nawe utakosa kujizuia ukaangamia.
 
Haswaa Nashukuru kwa kuwa mjanja umeelewa.
 
Hebu nitafsirie hilo
Hii ni baada ya kumuachia mwanamke wako majukumu yako kama baba baada ya kumuamini kupita kiasi basi inafikia hatua basi wewe unakosa tena Uhuru wa maamuzi tena na tayari ni mkeo ndo basi unaanza kugadhifika vile ambavyo atafanya tofauti na wewe na kukunyima Uhuru wako wa maisha
 
Hii ni noma aisee, sema sometime ufukara ndio unawanyonga raia
 
1Usimwonee wivu mke umpendaye;
utakuwa umemfundisha namna ya kukudhuru.
2Usimwachie mwanamke ukuu wako,
la sivyo atakutawala kabisa.
3Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya,9:3 Kiebrania: Mke … mwingine: Kigiriki: Mwanamke mwenye tabia mbaya.
la sivyo utanaswa katika mitego yake.
4Usishirikiane na mwanamke mwanamuziki,
la sivyo, utanaswa kwa werevu wake
5Usimtazame kijana msichana mzuri;
la sivyo, wewe na yeye mtapata adhabu ileile.
6Usimpe malaya moyo wako,
la sivyo utapoteza nchi yako yote.
7Usipepesepepese macho mitaani mjini,
wala kuzururazurura kwenye maeneo yake ya pekee.
8Usimtazame mwanamke mzuri,
usimkodolee macho mwanamke mrembo asiye wako.
Maana wengi wameangushwa kwa uzuri wa mwanamke,
maana jambo hilo hufanya tamaa kuwaka kama moto.
9Kamwe usiketi na mke wa mtu,
wala kuketi naye kunywa pombe;
la sivyo moyo wako utampenda
nawe utakosa kujizuia ukaangamia.
No6 na 9 wengi wemeangukia hapo
 
Back
Top Bottom