Kuna watu wameibuka wakidai ni waajiri wanapigia watu simu wakiwa kwenye sauti za kuigiza, barua za kuita watu kazini na mikataba ya kazi, kwa mujibu wa vyombo vya habari jana wameibiwa watu wengi huko mgodini kwa madai ya kutoa lunch ili kuitwa interview.
namba za simu na nafasi wanazoomba watu wanazisoma kwenye mitandao ya ajira. 3W jobs Tanzania wakiwa mmoja wao pamoja na ujanja mwingine, kwa kuwa uwezo wa jeshi letu la polisi si wa haraka ni vema ukamwarifu na mwenzako ili kuwa makini.
kama umeshaibiwa unaweza kureverse pesa zako mpesa kwani wizi walioufanya ni mkubwa na hawawezi kutoa pesa zote kwa pamoja, mimi ni mwathirika wa tukio hilo na pesa zangu nimefanikiwa kurudisha kwa kupiga voda bila kuwaomba.
poleni sana watu wote mlioibiwa na maangaiko mema ya ajira, Mungu ni mwema ipo siku tutapata.