Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,637
- 3,037
Acha UZEMBE wewe khaaaHizo nyasi kwenye lami wakati huo utaziona wapi kakutaiti ikumbukwe kisu ni kidogo halafu kikali akigusa kidogo tu huna koromeo!
Au unazani kisu anakibeba begani kama shoka?
Siku izi uswahilini Kuna mbinu nyingine imebuniwa ya kukaba wanakutaiti na Bomba la sindano, ukifanya masikhara anakudunga sindano yenye mchanganyiko wa madawa ya kulevya na HIV. Alafu Hao wakabaji wamepitia maswala ya ngumi, sio watoto wa mama kama watu wa bushi wanavyofikiri. Mtu anaekaba full kifua kama mcheza mieleka. Kama mjini watu wanafikiri wakabaji unaweza kupambana toka kijijini alafu uje utembee mida ya usiku sehemu korofi kama Keko, watakuja kutoa ushahidi apa Jamii forumMimi walishanibananisha kimya kimya na wembe
Hata kama kingekuwa kikali kuliko kiwembe. Nitamwonyesha cha mtema kuni. Aonee kina mama na wanaume legelege siyo mimi.Hizo nyasi kwenye lami wakati huo utaziona wapi kakutaiti ikumbukwe kisu ni kidogo halafu kikali akigusa kidogo tu huna koromeo!
Au unazani kisu anakibeba begani kama shoka?
Ule wembe uone hivyohivyo, sio kabisa, amini nakwambiaUkatoa pesa!! Wewe ni Mwanaume au??
Wafanye yote ila wasiue watu wetuNimesikia kuna Clip inazunguka kwenye mitandao kwamba; Kuna aina mpya ya uporaji Kwa madreva wenye magari madogo wakiwa kwenye foleni au taa!
Mashuhuda wanasimulia kwamba Mwizi anapokuona umeshusha vioo, ukiwa peke ako kwenye foleni au taa (makutano junction)!
Anakuvizia Kama wapitavyo Machinga anajibana kama vile mshikaji huku mikono yake ikiwa ndani tayali anaanza kukutomasa Kwa kisu kikali sana huku akikuomba utoe Pesa zote umpe!
Inadaiwa style ya vibaka hao wanayotumia haiwezi kushitukiwa kirahisi na watu wanaokuzunguka kwasababu anakuja kama mshikaji, na akimaliza kukupora anakwambia "Siku ingine kwenye foleni au taa usiache kioo wazi"
Halafu anapokuaga anakuambia "NITAKUPIGIA TUONGEE VIZURI"
Ili kuwahadaa wanaokuzunguka waone kama no mtu na mshikaji wake!
Wanaume Kwa wanawake wengi wanasimulia kuporwa Kwa style hiyo mpya!
Mmoja anasadikiwa kuwepo maeneo ya taa za mnazi mmoja na pale BigBon
Hawajabahatika kupata PICHA yake lakini inadaiwa ni lijitu jeusi lenye sura ya kikauzu!
WITO;
NOTE; Sisi wenye ESCUDO Tutafte namna nyingine ya kujihami maana AC zetu ni za MAZABE!
- Polisi hususani Trafiki wanaongoza magari wasiruhusu wafanya biashara (machinga & ombaomba) kutembea kwenye foleni au taa
- Madreva wachukue tahadhari wapandishe vioo hasa wakiona wapo wenyewe.
- Ile sheria ya faini ya laki mbili Kwa mtu anaempa pesa ombaomba kwenye foleni iongezewe nguvu
NAMNA YA KUMKATA MTU HUYO
Wanaume Wa Dar; kama mkeo anafaham kuendesha mkabidhi aendeshe, halafu wewe jilaze siti ya nyuma kwenye foleni au taa mwambie mkeo ashushe vioo vya mbele tena kama ikiwezekana mwambie azuge kujipodoa na lips stick ili mwizi asogee, halafu ukisikia mazungumzo toka na panga Kwa mlango Wa nyuma usiulize na umuarest haraka iwekezekanavyo!
Mimi binafsi nimeaza operesheni hii tangu Jana sisubiri hadi Polisi waseme! Nitawapa mrejesho!
Acha ngebe wewe. Wewe si jirani yangu uswaz lini ukawa na gari na bastola?Akiniwekea bastola atafanikiwa kunipora lakini siyo kisu. Niko ndani ya gari halafu yeye yuko nje aingize mikono yenye kisu ndani nimpe nilichonacho? Nyasi zitawaka moto!
Kona zote wanatembea
Daah!ukitaitiwa na mtu mwenye silaha kuwa mpole tu la sivyo atakuumiza.
Msela anasema atabeba panga na kujificha siti ya nyuma mkewe akiwa anaendesha mpe tahadhari atakuja kuua machinga!Hizo nyasi kwenye lami wakati huo utaziona wapi kakutaiti ikumbukwe kisu ni kidogo halafu kikali akigusa kidogo tu huna koromeo!
Au unazani kisu anakibeba begani kama shoka?