Tahadhari kwa wamiliki wa magari: Ukiwa kwenye taa au foleni funga vioo, inasemekana kuna Vibaka wenye visu vikali wanapora pesa kimya kimya

Hii inaonekana kama mzaha na kuwatania wanaume wa Dar ila kumbukeni kibaka au mwizi had nothing to loose akigundua hutacooperate anaweza akakisokomeza kisu ndani ya shingo, puani, jichoni ama mdomoni kabla hajakimbia. Unaweza usife ila ukabaki na majeraha makubwa!! Hapa cha muhimu ni kufunga vioo vya gari na kuchukua precautions zote! Silaha ni silaha, bunduki, panga, shoka, bisibisi, kisu na hata jiwe zinaweza kutumika na kuleta madhara ya kifo au majeraha makubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fact! Unachotakiwa kufahamu ni kuwa Kibaka hana cha kupoteza. Ukitaka kukabiliana lazima uwe makini sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku izi uswahilini Kuna mbinu nyingine imebuniwa ya kukaba wanakutaiti na Bomba la sindano, ukifanya masikhara anakudunga sindano yenye mchanganyiko wa madawa ya kulevya na HIV. Alafu Hao wakabaji wamepitia maswala ya ngumi, sio watoto wa mama kama watu wa bushi wanavyofikiri. Mtu anaekaba full kifua kama mcheza mieleka. Kama mjini watu wanafikiri wakabaji unaweza kupambana toka kijijini alafu uje utembee mida ya usiku sehemu korofi kama Keko, watakuja kutoa ushahidi apa Jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa halisi ya hao ni bastola, hiyo haina hodari mzee, ila visu na ngumi wapo mahodari wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ONYO
ukiingia kwenye target kuwa mpole
unaweza kukabwa na hospital unakaa wiki
kuwa makini usiingie kwenye target


NB wakabaji. wenyewe wakiingia kwenye target wanakabwa hata wanajeshi wanakabwa
Sure ukiingia kwenye target kuwa mpole, vinginevyo utauawa hata pale ambapo hukutakiwa kuuawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom